Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu kwa taifa lililojaa wajinga na mang'ombeMgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote kuanzia sasa.
Hatua hii ni baada ya Mahakama kutengua Ushindi wa hujuma uliofanywa na Serikali ya Chama tawala cha DPP chini ya Prof. Peter Mutharika anayeondolewa Ikulu.
Malawi wamemaliza Kazi yao!
Muda ni hakimu mzuri, watanzania tujiandae kuyapokea mageuzi ya kiuongozi.
Mimi siishi huko Ila 99,% ni wajingaIna maaana hata wewe upo kundi hilo?
1% are enjoying national cake [emoji513]Sasa hiyo 1% ni yupo huyo?
Amina, mungu ni mkubwa
Kwani Chadema huwa hamuweki mawakala? Mbona mlipata wabunge zaidi ya sabini? Na hao mawakala si huwa wanalinda na kusimamia kura cha Chadema. Sasa nani ataiba kura wakati kila chama kina wakala.Ebu tutolee ushamba na kuramba viatu
Ni kweli. Malawi wana independent judiciary, jeshi neutral na wananchi wanaojielewa. Matokeo yanaruhusiwa kupingwa mahakamani. Kwa kweli Malawi kuna demokrasia kubwa sana. Malawi polisi siyo ya chama tawala. Ni ya wananchi. Hiyo ni tofauti kubwa kati ya Malawi na Tanzania.
Mungu wangu!! Wee jamaa ni mwendawazimu aisee. Teh! teh!Usifananishe Tanzania na vitu vya hovyo
Unajua kuwa Ccm ndio chama bora zaidi Africa ! na cha pili duniani kwa ubora !
Hivi upinzani mgombea wao wa urais ni nani?Vile Meko anatoa macho akipata habari hizi!View attachment 1488565
Vile Meko anatoa macho akipata habari hizi!View attachment 1488565
Lakini ukumbuke MCP kilikuwa chama tawala hadi wakati wa Dr Kamuzu Banda. Kinarudi madakarakani kwa mara ya 2.Mgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote kuanzia sasa.
Hatua hii ni baada ya Mahakama kutengua Ushindi wa hujuma uliofanywa na Serikali ya Chama tawala cha DPP chini ya Prof. Peter Mutharika anayeondolewa Ikulu.
Malawi wamemaliza Kazi yao!
Muda ni hakimu mzuri, watanzania tujiandae kuyapokea mageuzi ya kiuongozi.