Malengo yako ya mwaka huu yametimia?

Nilikuwa na ma3, nimetimiza moja..

1. Kuanza kuwekesha pesa ambazo sitozigusa ‘utt [emoji736]

2. Kujua kudrive manual gear..

3. Kuwa na smart tall dark handsome.. badoo sipati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lenie
Safari moja huanzisha nyingine,,,, usikate tamaa na usiwe mwepesi wa kuyumbishwa ! Simamia unachoamini
 
Umeeleza vizuri sana lakini nadhani mwisho ungeweza kujibu hoja kwa kueleza namna ulivyofikia malengo yako kulingana na targets zako za mwaka wako kama ulivyoeleza hapo. Otherwise naona umemjibu kwa kumshambulia huku ukitegemea na yeye afanye hivyo hivyo. Lenho lilikua zuri ila umefeli kufikisha ujumbe ulipoingoza personal attack na pia hujajibu alichouliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshukuru Mungu hata Kwa huo uhai ulio nao.
 
Nilikuwa na ma3, nimetimiza moja..

1. Kuanza kuwekesha pesa ambazo sitozigusa ‘utt [emoji736]

2. Kujua kudrive manual gear..

3. Kuwa na smart tall dark handsome.. badoo sipati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lenie
Hiyo namba 3 wale Zalan walipokuja walikaa zaidi ya wiki 2 au hukuwaona

[emoji23][emoji23]Jokes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…