trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Mungu akuinue zaidi kwa mwaka ujao na inayoendelea mkuu. Mimi namuomba Mungu angalau Dec hii anipe mwanga wa vipi naianza 2023 maana sina direction kabisa nina imani kwa jitihada atatenda tuu.Heri Yako umerudi nyumba kwa mwaka mmoja. Mm 2022 nimeinuka kidogo baada ya kurudi nyuma kwa miaka 7 mfululizo. YAANI tangu 2014 - Dec 2021
Sent using Jamii Forums mobile app