Malengo yangu mwaka 2021 ni kuacha pombe, umalaya na ku-bet

Anza na kimoja kwanza,acha pombe ili urudi kwenye utimamu wa akili,baadae acha kubeti
 
Mimi binafsi swala la pombe kwakweli linanitesa sana, niko katika mchakato wa kupunguza iwe napiga Friday na Saturday tu
Find something better than pombe ili uwekeze nguvu yako.

It is rather worthwhile to make decisions right on time, even though hauko sure nazo 100%, kuliko kudelay hadi baadaye mbeleni kutafuta which is which and which way and how to go.
 
dunia ipo siku za mwisho

mtu anafany dhambi kubwa kubwa halaf anaingia mtandaoni (Jf) kujimwambafai
Shetani kamwe hajawaigi kuwa rafiki wa mwanadamu yeyote; atakupa incentives zote unazotaka wewe ili umefikishie mzigo wake anakotaka yeye. At the end of the day, ukimpa nafasi ndiyo hivyo tena. May God save those who are intelligent enough kiasi cha kutambua duniani ni mahali pa maandalizi tu kwa ajili ya maisha mengine endlessly happy & fulfilling. Iblisi asingependa kabisa watu wajue ama kuelewa ama kufanyia kazi wazo hilo.
 
Mkuu nimependa jibu lako kwa huyu ndugu yetu,Nina swali dogo tuu,Nini tofauti ya devil na Satan? Mimi najuaga ni kitu hichohicho! Je ni sawa?
 
Umesema vizuri sana mkuu kwenye hiyo paragraph ya pili,wengi wanapokiri kuacha dhambi huwa hawajui kua wametangaza vita na shetani,mwisho wa wengi ni kuishia njiani kwa kuona kuwa mbona hali zao zimekuwa mbaya zaidi kuliko za mwanzoni,ila kama umedhamiria kuwa uko tayari hata ikibidi kutoa uhai wako kwa ajili ya kutokurudi ulikokuwa,utashangaa mambo yanayokuwa rahisi kwako...
 
Shetani nae hapendezwi na mipango yako, Maana wafuasi wake watapungua. Atakuletea pisi kali zinazokunywa pombe badala ya kuacha pombe utaongezewa zaidi wanywaji na kampani kama hizo usingetangaza maana umetangaza vita na shetani.
😂😂 pisi kali zinazokunywa pombe na kupenda mpira
 
Wacha mafumbo mtoto wa kiume. Go straight to the point. Kwanza usinihubirie.....hapa sio jukwaa la dini
 
Vyuma vimekaza na griss hakna lol, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
watu tunaangaika kwa matatizo tunayo yatengeneza wenyewe, mkuu unaeza acha hivyo vitu hata bila kuokoka
 
VP KWENYE CHAPUTAA HAUPO KWEL😅😅
 
Nakusudia kuacha kama wewe lakini naona muda ambao nilikuwa natumia kunywa pombe, umalaya na kubet nitakuwa nafanya nini ili nisiviweke kwenye ratiba
Utakuwa unashinda kwenye gahawa kupiga domo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…