Malezi haya wanayopewa watoto wa kiume na mama zao hasa kwenye nyumba isio na baba, yapo sawa?

😅😂😂😂😂😂😂upwiru ulikaba koo kmmmk dah
 
Kwani mama wa hivyo lazima awe na shule ya maana basi? Hapo ni ulimbukeni wa mjini tu na kuigiza tamthilia za kijinga.
Si ajabu huyo ana div. 4 ya form 4

ukiona mama katoboa shule na ana misimamo ya kike ile ya mama zetu,ujue alikolelewa hakukuwa vyema kiuchumi.

hawa mboga saba,ambao pia wametoka mboga 5 au 4 ni vilandage sana.

kutaneni hata na hivi vitoto vya magari ya njano mshinde navyo kwa dkk kadhaa utagundua vita upumbavu mwingi sana nje ya kiingereza safi vinavyoongea.unaweza kaambia acha hiki kanaendelea kufanya,pata picha kameshakua kamtu kazima miaka 10 ijayo.
 
Hata akimla mama yake Kuna ubaya!!?
 
Kuna jamaa yangu ananyooshewa kidole amezaa na binti yake, maana baba wa mtoto hajawahi kuonekana na Mjukuu aliyezaliwa ni copyright na babu yake.
Neno copyright limetumika isivyo. copyright = haki miliki

Ungeandika: anafanana sana na babu yake. In English: He closely resembles or looks like his grandfather. Or He is exact replica of his grandfather
 
Ndio maana mashoga yameongezeka,kwa toto la aina hiyo hata mama akiwa na bwana anaona wivu na yeye apate bwana hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…