Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msilaumu pengine dogo kanunuliwa play station huyo😅Madogo wa hivi ukubwani huwaambii kitu kuhusu nani kama mama.
😅😂😂😂😂😂😂upwiru ulikaba koo kmmmk dahKimchezomchezo dogo alikuwa anatumia "jakuuz" moja na mama yake akiwa 16yrs. Kumbe mama alikuwa akimwita waogelee pamoja akiwa na upwiru wakati baba yake yuko masomoni ulaya. Siku moja dogo kaachia wazungu na Mungu si Athumani immoooo, mama kaanza kutema mate. Kesi iliishia kupeana taraka na mtoto akawa baba kwa mama yake.
Hapo Shetani akichangamka kidogo tu kuna jambo la aibu litafanyika chapUnashangaa nini? Hapo dogo tayari kadindisha ujue!
JuniaJunior
Kwani mama wa hivyo lazima awe na shule ya maana basi? Hapo ni ulimbukeni wa mjini tu na kuigiza tamthilia za kijinga.Mwanamke akienda shule ni hatari sana kwenye jamii...upumbavu kama huu TALIBAN waliujua ndiyo maana mwanamke amepigwa marufuku kwenda shule
Kwani mama wa hivyo lazima awe na shule ya maana basi? Hapo ni ulimbukeni wa mjini tu na kuigiza tamthilia za kijinga.
Si ajabu huyo ana div. 4 ya form 4
Hata akimla mama yake Kuna ubaya!!?View attachment 2689216
Hatukatai mama na mtoto kupendana kama mzazi na mtoto lakini hii ni sawa?
Ni kweli mvulana huyu anampenda mama yake kwa jitihada za kumuandalia chakula lakini hakukuwa na namna nyingine kuonesha anampenda hadi iwe hivi ?
nae mama wala haoni shida na yawezekana ndie alimzoesha tangu akiwa mdogo, mtoto kawa kwa jinsi alivyolelewa.
si hili tu, tabia zingine mtoto kuoga na mama yake, mtoto kulala na mama yake kitanda kimoja, n.k.
Mtoto huyu akianza kubalehe naona wazi kabisa tabia hii inaweza kuchochea incest (watu wa familia moja kuingiliana)
Mara nyingi hutokea kwa nyumba zisizo na baba.
Labda mamtoni huko siyo bongo hiiLabda kama ungekuwa wewe. Mtoto hawezi kuwaza lolote kwa mzazi wake.
Neno copyright limetumika isivyo. copyright = haki milikiKuna jamaa yangu ananyooshewa kidole amezaa na binti yake, maana baba wa mtoto hajawahi kuonekana na Mjukuu aliyezaliwa ni copyright na babu yake.
Huo upuuzi unawezekana kwa Baba kwenda kwa mtoto wa Kike na si vinginevyo, siamini...
Matambiko [emoji23][emoji23]Katika ukoo wetu Kuna baba alianzaga hivi na binti yake akaishia kumla.
Juzi tumefanya matambiko.
Lete ya kwako kwanza.Kwanini haiwezekani? Lete "scientific prove" nasi tunaleta "scientific prove" kuonesha inawezekana.
Ndio Mkuu...Kwamba Baba ale mwanae?