Hahaaaah mgosi kummanya vihi kama mzigula wa dihomboHahaaaaa, mzigua mwenzangu wa dihombo turiani huyo. Nimemaliza, yeye anaweza mfanyia hivyo mama yake? Au Baba yake anaweza mfanyia hivyo mdogo wake wa kike? Ndio nasubiria jibu hapa.
Ndio Mkuu...
Hiyo iko staged,wala hakuna mama mlaini hivyo,huwa wanabadirika wakiona kijana anapokuwa mkubwaMbona ni kama wapo location?
Hahahmsilaumu pengine dogo kanunuliwa play station huyo😅
Hii Kali. [emoji23][emoji23][emoji23]Kimchezomchezo dogo alikuwa anatumia "jakuuz" moja na mama yake akiwa 16yrs. Kumbe mama alikuwa akimwita waogelee pamoja akiwa na upwiru wakati baba yake yuko masomoni ulaya. Siku moja dogo kaachia wazungu na Mungu si Athumani immoooo, mama kaanza kutema mate. Kesi iliishia kupeana taraka na mtoto akawa baba kwa mama yake.
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseKimchezomchezo dogo alikuwa anatumia "jakuuz" moja na mama yake akiwa 16yrs. Kumbe mama alikuwa akimwita waogelee pamoja akiwa na upwiru wakati baba yake yuko masomoni ulaya. Siku moja dogo kaachia wazungu na Mungu si Athumani immoooo, mama kaanza kutema mate. Kesi iliishia kupeana taraka na mtoto akawa baba kwa mama yake.
Sio sawa hapo huyo dogo amesha balehe anamgusa sehemu za makalio na sehemu zake za mbele kitakachotokea ni kichocheo Cha hamu ya ngono siungi mkonoView attachment 2689216
Hatukatai mama na mtoto kupendana kama mzazi na mtoto lakini hii ni sawa?
Ni kweli mvulana huyu anampenda mama yake kwa jitihada za kumuandalia chakula lakini hakukuwa na namna nyingine kuonesha anampenda hadi iwe hivi ?
nae mama wala haoni shida na yawezekana ndie alimzoesha tangu akiwa mdogo, mtoto kawa kwa jinsi alivyolelewa.
si hili tu, tabia zingine mtoto kuoga na mama yake, mtoto kulala na mama yake kitanda kimoja, n.k.
Mtoto huyu akianza kubalehe naona wazi kabisa tabia hii inaweza kuchochea incest (watu wa familia moja kuingiliana)
Mara nyingi hutokea kwa nyumba zisizo na baba.
Huku kwetu tunasema mbuzi kala kotiHapa ni "fish anakula fish life in the sea".Jeshini tunasema mbwa kala mbwa
Duuh kwa mwanaume kumfanyia mtoto wa kike ni hatari sana utashawishika kwenda huko. Ila mwanamke kumfanyia mtoto wa kiume hayo ni kumwandaa kuwa shoga. Ukaribu wa mama kwa mtoto wa kiume wa kupita kiasi ni hatari sana kwa psychology ya mtotoKatika ukoo wetu Kuna baba alianzaga hivi na binti yake akaishia kumla.
Juzi tumefanya matambiko.
Hahaaaaaaa, tofola mgosi wa ndima?Hahaaaah mgosi kummanya vihi kama mzigula wa dihombo
Nivedi mbuli zagaze mianguHahaaaaaaa, tofola mgosi wa ndima?
Hata kwa wazungu sijawahi ona kitu kama hiki. Mtoto unamkumbatia kingono (feel) Mama yako?!!mama anapika chakula, mtoto kaja kumkumbatia mama yake kuonyesha anavyompenda
Kaskazini wanayo sana hii wanaanza kula wenyewe Pana jirani yetu kawatafuna wanae,mmoja aliolewa jamaa alipopata Uzi hata mke wake mkwe wake alipitamo sana jamaa akapiga chini,binti yupo kwao kwa baba yake akiongeza idadi ya masingle mama mjiniKatika ukoo wetu Kuna baba alianzaga hivi na binti yake akaishia kumla.
Juzi tumefanya matambiko.
Sasa kuna vijana na mama yao tupo majirani wengine walikuwa wanambeba wengine wanamhug kama hivyoo , wengine wanasema mpenzi wangu umeshindaje basi , wanamkiss ila hakuna lolote lilowahi kutokea now wameoa na wanawatoto wao