MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Description ya Yesu mnayemwabudu kwenye michoro ya waroma ni Mzungu.Mkuu kwani kwa mujibu wa historia Yesu alikua Race gani? Na wa taifa lipi?
Hatumuabudu Yesu mzungu, Tunamuabudu Yesu Kristo mkuu
Bless your heart....Humbly taken brother!
Naona mguu na kiatu vimeeneana. Sasa ni wewe kuchukua kiatu..ππI loooove wanaume wanaopenda wanawake wababe!
SIO KUWA nimeendeamo nooo!
nimesema tuuu!
Wayahudi wana rangi gani mkuu?Description ya Yesu mnayemwabudu kwenye michoro ya waroma ni Mzungu.
Blonde Caucasian with blue Eyes: These facts matter so much in the study of history.
Nifahamuvyo mimi ni kwamba Yesu wa Nazareti hakuwa Mzungu bali alikuwa ni Myahudi.
Niko Curious kumsoma huyo mtu mkuu, nimemsoma juu juu tu, Hasa pale alipoweka sherehe ya miezi 3. Waweza kunipa japo kdogo habari zake?Sasa Nebukadrezza na Farau walivyovamia Israel walipata utajiri mwingi sanaaa.
.
Wayahudi gani ?Niko Curious kumsoma huyo mtu mkuu, nimemsoma juu juu tu, Hasa pale alipoweka sherehe ya miezi 3. Waweza kunipa japo kdogo habari zake?
egyptology ndio uwanja ulioniintroduce kwenye mental liberationAna vitabu vingi sana vimeandikwa kwa kiingereza...
Alikuwa ni mtaalamu wa Egyptology
Nauliza uyahudi aliokua nao YesuWayahudi gani ?
Wale wa kale au hawa wa leo ??
nina kitabu kimeandokwa "Hebrew history"Niko Curious kumsoma huyo mtu mkuu, nimemsoma juu juu tu, Hasa pale alipoweka sherehe ya miezi 3. Waweza kunipa japo kdogo habari zake?
Napenda sana mambo hayo mkuu. Kama ni softcopy waweza uplod hapa au kwa email...nina kitabu kimeandokwa "Hebrew history"
kimeandika historia ya ulimwengu wa kale kwa undani sana, hasa falme za kale.
bahati mbaya niko safarini ningeweza kukumegea
sina soft copy lkn naona kinauzwa[emoji116]Napenda sana mambo hayo mkuu. Kama ni softcopy waweza uplod hapa au kwa email...
Ooopppsss!!! I cant Afford it, but thank you..sina soft copy lkn naona kinauzwa[emoji116] View attachment 820171
Wale walikuwa mchanganyiko.Nauliza uyahudi aliokua nao Yesu
Kwani Yesu alitokea kabilaa dani mbona unatolea mfano kwa hao? Kwa unavyofahamu wewe Yesu alikua rangi ipi mkuu?Wale walikuwa mchanganyiko.
Kama wana wa Mussa walikuwa wana weusi kwasababu mama yao Zippora alikuwa mweusi. Manase na Efraimu walikuwa wana weusi kwasababu mama yao Asenati alikuwa ni mmisri wa Kemet. Ushahidi mwingine ni wale Wayahudi wa Ethiopia kabila la Dan ni weuso tiii lakini bado ni wahebrania.....
Wale walikuwa mchanganyiko.
Kama wana wa Mussa walikuwa wana weusi kwasababu mama yao Zippora alikuwa mweusi. Manase na Efraimu walikuwa wana weusi kwasababu mama yao Asenati alikuwa ni mmisri wa Kemet. Ushahidi mwingine ni wale Wayahudi wa Ethiopia kabila la Dan ni weuso tiii lakini bado ni wahebrania.....
NB: Kumbuka siyo kila Semitic amekaa kama mwarabu au mhindi. Kuna watu Semitic lakini ni weusi tiii, kama kabila la Wairaqwi kule Manyara. Wale siyo Hamitic kama tulivyo wabantu lakini ni wuesi
hahaaa ""wanipa" hamasa 'ya kwenda" kuoa huko""
ahahhahah!Naona mguu na kiatu vimeeneana. Sasa ni wewe kuchukua kiatu..ππ
π harafu awe na sauti ya kukwaruza hivi.. nadataahahhahah!
Hujawahi kuwaona Wayahudi weusi ??Kwani Yesu alitokea kabilaa dani mbona unatolea mfano kwa hao? Kwa unavyofahamu wewe Yesu alikua rangi ipi mkuu?
Yawezekana Climate factor inachangia mkuu ndo maana wanakua weupe(kama walikua weusi)Hujawahi kuwaona Wayahudi weusi ??
Mfalme Daudi (Myahudi) alikuwa na weusi kama ule wa waethiopia.
Kuna Professor Mzungu kutoka chuo cha Chicago aliwahi kusema kauli tata "David was Black"
Unashangaa hili tu ??? Dogo sana kwa haya nitakayokwambia hapa chini!
Warumi walivyofika India na kukuta kanisa lililojengwa na Mtakatifu Thomaso,
Picha ya ukutani ilionyesha Yesu akiwa na rangi nyeusi na amezungukwa na baadhi ya mitume wenye rangi nyeusi.
Warumi kuona hivyo Papa na Maaskofu wakaamua kufanya yao kufunika ukweli wa mambo dunia isifahamu kabisaa.
Raisi wa Misri Gamal Abdi Nasser
Aliwahi kusema haya kuhusu hawa Wayahudi wa siku hizi baada ya kurudi mwaka 1948,
"You left here black, but returned so white. We cannot accept that" haya ni maneno mazito ambayo waarabu wenyewe waliopigana na Wayahudi kwa muda mrefu na kuwafukuza kabisa pale kipindi cha Salahadeen ndiyo wanaufahamu ukweli wa mambo. Lakini wayahudi weusi wapo wengi tu, tembea uwaone. Ndiyo maana leo hii nasema Mtume Paulo hakufanana na Spielberg au Benjamin Neyanyahu kwasababu wayahudi wa leo wengi wao ni wazungu kabisa hadi nashangaaa mimi.