Malkia Amanirenas: Shujaa wa kiafrika aliyeishinda dola ya Kirumi

Ni kweli ni falsafa mbaya lakini sijui ni kwa mahaba ya dini au kufungwa maana waafrika hatulioni kabisa ila hata baadhi ya vitabu vya dini vinakubaliana na hili la kubaguana na kutokuingiliana na hata utumwa inasupport hili suala linanipa maswali sana ila ntalifungulia uzi mwingine ili wasije wafia dini wakaja kuuchafua huu uzi tukahamisha mjadala but kiukweli kwa namna fulani hizi imani zimetudhoofisha sana uwezo wa kufkiri sisi ngozi nyeusi
 
Afrika haiwezi kuendele kwa sababu hatumjui adui yetu. Siku bara zima raia wake wakimtambua adui yao ndio hapo mapinduzi ya kweli ya bara la Africa yatapatikana. Ila wazungu nao wanajitahidi kwa kila njia tusimjue adui, ndio maana wanasimamia kupunguza idadi ya waafrika, maana wanaogopa mkija bumbuluka na mlivyo wengi watawaangamiza. Pia wazungu wametuletea vyama vya siasa ili tusimjue adui yetu, we shangaa hapa vyama vya siasa vinafadhiliwa na wazungu, ila sisi waafrika ndio tunagombana sababu ya vyama, sasa wewe hujiulizi kwanini hawa wazungu wanaofadhiri hivyo vyama hawagombani, ie mfadhiri wa chama kimoja akagombana na mfadhiri wa chama kingine. Tutajikwamua pale tu kilu muafrika hasa wasomi wakianza kufikiri nje ya box.
 
Mkuu jukwaa la kimataifa kulikiwa na uzi wa Rwanda nilitamani kupata maoni yako,ila ulikuwa kimya sujui haukuona?
 
Mkuu jukwaa la kimataifa kulikiwa na uzi wa Rwanda nilitamani kupata maoni yako,ila ulikuwa kimya sujui haukuona?
Naomba unitag ,ukitaja kigoma,Rwanda, Congo,Tabora au Ngara ,unakua umenigusa sana sana
Naskia kati ya Rwanda au Kigoma pia kulikuwa na queen mmoja strong sana,jina nimelisahau
 
Shida ya historia za ndani hazitunzwi hata ukitaka kuisoma hujui unaipatia wapi wala unaanzia wapi ila wenzetu wana maktaba kubwa za mitandaoni zenye historia za mashujaa wao ndio maana ni rahisi kupata hizi historia..... Changamoto ndio hiyo
Tafuta vitabu vya oral history ya tz vimeandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…