Malkia Elizabeth kalala kuzimu. Je, karma itachukua mkondo wake?

Imani ya kwamba kuna mbinguni au motoni walituletea wao kusema amekwenda motoni au yupo wapi ni ngumu sana,bora nikae kimya ,and no hell hell is propaganda,we are in hell right now!
Ukisoma Egyptian book of the dead wameelezea vizuri hili jambo, kwa imani yao haya maisha tunayoishi sasa ndo jehanam yenyewe(underworld, )maana roho yako inakua imelimitiwa na hii hali ya ubinadam ila roho ikitoka kwenye huu mwili inarudi kwenye hali yake(nguvu) ya asili
 
Kutoa sadaka
kutoa zaka
kusaidia mayatima
kusaidia wajane
KUNAPUNGUZA NGUVU YA KARMA KUKUPIGA KWA NGUVU.
Naunga mkono hoja, hii inaitwa "reversing the bad karma impact". Kama umetenda maovu fulani, mfano kuua mtu, malipo ya karma yako ni na wewe utauliwa, ila ukijitambua kuwa umefanya kosa, ukajuta, ukatenda wema mara dufu kufidia ule ubaya, ile karma ya uovu wa kuua mtu inafutika!. Hili nimelieleza vizuri tuu hapa "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako! na hata yule Blaza wangu, kutokana na hisia kuwa hakuwa mtu mwema kivile, hivyo karma ndio ikamchomoa, baadhi ya watu wakidhani amekwenda kufanywa kuwa kuni!. Bahati nzuri mimi nilielezwa mahali alipo na nikaeleza humu Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani ila bado kuna watu hawaamini!.

Hata mimi mwenyewe na lile jambo langu, usikute pia kuna mkono wa karma ya matendo yangu kama nilivyoeleza hapa A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!
Karma is real!, and is a bitch!.
P
 
Nafikiri sasa Yupo kuzimu(kama kupo) na hivyo basi utajiri wao utakuja julikana-unajulikana bila ya uwazi-kwa Uwazi.
...kwani tetesi nyingi sasa ni mambo mengi ya Utawala wake yatawekwa hadharani.
 
Mnavyozungumza Karma inabidi mtutoe tongotongo...anayetengeneza dawa za kutoa mimba na mtu anayetumia hizo dawa kutoa mimba karma inaenda kumtafuna nani?
Ndio ile stori ya Mikhail Kalashnikov na AK47 yake iliyotumika kuua milions of innocent people
 
Mnavyozungumza Karma inabidi mtutoe tongotongo...anayetengeneza dawa za kutoa mimba na mtu anayetumia hizo dawa kutoa mimba karma inaenda kumtafuna nani?
Ndio ile stori ya Mikhail Kalashnikov na AK47 yake iliyotumika kuua milions of innocent people
Mtengenezaji na mtumuaji wote kila mmoja kwa kipimo chake atapata karma yake
 
Nipe muda nitakurudia nisijibu kwa kukurupuka
 
Mwenyez asikuache.upo good sana mkuu
 
Kila anaekufa aliwahi kuuwa...?

Kumbe mimi siwezi kufa kwasababu sijawahi kuuwa...?

Chukua hii....

Kila binadamu atakufa tu... Kifo sio Karma.
 
UNAONGEA KIRAHISI TU ATI HAKUNA INCARNATION?

THIBITISHA. ACHA UJUAJI NA KIMBELEMBELE.

VIZUNGU VIIINGIIII UJINGA MTUPU
We unaweza kuthibitisha?unathibitishaje kuwa mtu alishaishi before akazaliwa tena?acha kudhalilisha ukoo wako bro......mwenyewe umeona umeongea vitu smart kinoma kumbe upuuzi tu.Haya thibitisha tuone.
 
duh! watu mna siri nyinyi....ina maana prince harry sio mtoto wa damu wa king charles III?!!

nime-google mda huu nikakuta kumbe ni mjadala mkubwa kwenye ulimwengu wa mitandao.
 
duh! watu mna siri nyinyi....ina maana prince harry sio mtoto wa damu wa king charles III?!!

nime-google mda huu nikakuta kumbe ni mjadala mkubwa kwenye ulimwengu wa mitandao.
Binadamu kusema ni kawaida..,Harry ukimtizama vizuri ndio mule mule na baba yake Charles...

Tena Ni mjukuu kipenzi kwa Bibi yake..

Diana hachafuki daima...
Kama sio mtoto wa kifalme mpaka leo hii sidhani Kama angekuwa hai..,Ila Kuna mtu aliwahi kuclaim kwamba Ni mtoto wa new king ..alizaa na maid wao,na anataka atambulike rasmi!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Diana kuchafuka anaweza akawa hachafuki kwenye macho ya walimwengu lakini ukweli unabaki kua tofauti kwenye Royal Family kwa required standards of decence, maana maadili yake hayakuendana kabisa na viwango vya familia ya kifalme.

Diana alikua muhuni tu ambaye hakuna familia yoyote ya kifalme chini ya jua ingeweza kumvumila. Her attitude and behaviour were matters of state as per required standards. Hakujua namna ya kuishi kwenye familia kubwa kama ile, akawa mtu wa skendo na na tabia kama za wacheza movie wa Hollywood na Bongo. MI6 & MI5 wasingeweza kumuacha salama, achilia mbali malkia mwenyewe.

And it was resonable Diana wasn't raised to be a Princess pamoja na kwamba alikua anatokea familia nzuri iliyowatoa watu kama akina Winston Churchil lakin bado hakuwa na malezi na maadili yaliyofaa kuwa mke kwenye the most prominent family in UK.

She was just 21 when she got married to a 33 year old Charles, now given the time context and globalization iliyokua inakua kwa kasi na the fact kuwa hakuwa exposed to such life before, aliishia kukengeuka na pesa zisizo na budget za Royal family akaishia kuwa na drama over drama kama Angelina Jolie na the Kardashians. Simply put ni kama mabinti wengi wanavokengeuka wakipata boom la chuo wanajiona wao ndo wao na huwezi waambia chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…