Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha inyeshe tujue panapovuja
Matatizo yapo siku zote yalikuwa hayaripotiwi; ndo "faida" za kuminya uhuru wa watu kusema!
Ukweli ndo huo ni mchungu lakini kubalini usemwe; Bandari ya Dar haijawahi kuwa na Ufanisi na haitakaa iwe na Ufanisi, utanunua Vifaa lakini bado mvua ikinyesha barabara za kuingia bandarini haziingikiliki; aliyetaka kujenga Bandari Bagamoyo hakuwa mjinga!
Kwani zamani walikuwa wanafanyaje?au walikuwa wanabeba vichwani?Sasa utawasukuma wafanyakazi wapakue meli kwa mikono mkuu? Au wewe unaweza kubeba makontena mgongoni?
Kwa sasa hivi mashine ipo moja,zamani je zilikuwa ngapi?Matatizo yapo siku zote wewe unafikiri yameanza leo baada ya hiyo clip ya gazeti la Mwananchi...rudi kuisikiliza tena utaelewa ninachokwambia; huyo jamaa si anasema mashine iko moja au hujamsikia?
Kabla ya Magu TICTS si ilikiwepo ? Ufanisi ulikuwaje ? na ilikiwa ina lalamikiwa mpaka bungeni.Bandari upande wa TPA ni matatizo matupu mkuu...ukiona kuna chembe ya ufanisi basi ujue ni upande wa TICTS siyo TPA
Hilo unalosema hatuwezi kujisimamia maana yake ndo hiyo hiyo...hakuna vifaa
Sababu ya wivu ina maana wabunge wale wote walio kuwa wana ilalamikia TICTS wana wivu,mimi siamini.TICTS inalalamikiwa sababu ya wivu tu(mambo ya mikataba), siyo Ufanisi....ukiona mambo hayaendi bandarini ujue ni TPA/serikali.
Bandarini upande wa TPA Kuna ujenzi mkubwa sana unaendelea ,so foleni ni lazima,huko barabarani tu barabara ikiwa Ina jengwa kunakuwa na foleni ,sembuse ndani mleZaidi ya Malori zaidi ya 1000 yamekwamaKatika Bandari ya Mjini Dares-Salam Utafikiri wahusika hawapo.
Meneja wa Bandari, Mkurugenzi wa Bandari na Waziri Anayehusika na uchukuzi. Mheshimiwa Rais Mama Samia Hassan Suluhu Wawajibishe hao viongozi watatu .Wanalitia Hasara Taifa kwa kutopata pesa katika Bandari ya Mjini Dares-Salaam .Mambo ya rushwa yamerudi tena Bandarini Mama Rais Fanya kazi yako.
View attachment 1781266
Bi Mkubwa kazi yake kula good time tuuu na kwenda Kenya kusaini mkataba hewa wa gesi. Tunataka raia waliodhulumiwa hela zao uwanjani tarehe nane juzi kati hapa wafidiwe kikamilifu.
Huyu mama eti nae anajifananisha na magu,,, utopolo mtupu. Mmama hana msimamo wowte, yaan hasomeki na ni dhaifu sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tulieni nyie haya mambo ndio yanaleta mzunguko wa pesa mtaani, au nasema uongo ndugu zangu?
View attachment 1781294
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MATAGA+SUKUMA GANG mna pumzi ya kutosha? Maana naona mnataka kuijaribu sumu kwa kuilamba.
Tena watakaowateka na kuwang'oa kucha na meno bila ganzi ni wasukuma wenzenu.
Acheni hiyo michezo kubalini ukweli kuwa bosi wenu yupo futi sita chini na ameshaoza tayari.
Ushuzi tupubora huyu akikaa kimya sawa akipiga mkwara sawa, kuliko mwendazake keleleeee nyingiiiiii kumbe anafunika wizi....huyu anatusaidia kujua mengi ili 2025 tuchague aendelee au akae kushoto
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Huyo ni mpuuzi hajielewiMkuu bado hujajibu swali langu,kama issue ni vifaa vya kupakulia,kwanini wakati wa jpm hakukua na hizo delay? Hilo tatizo limekuja ghafla baada ya jpm kufariki au kuna uzembe tu unatokea?
Ushuzi tupuMagufuli hakufanya lolote kuisaidia bandari iwe na Ufanisi...baada ya zile ziara zake za kufokafoka na kugombana na ambulance za Membe uliwahi tena kumwona akifika bandarini na fujo zake zile? Unafikiri kwanini hakufika? Jibu simple...tatizo lake lilikuwa wateule wa Kikwete, alipofanikiwa kuwaondoa akaweka wapiga dili wake wa Tanroads hakuwa na habari tena na bandari, akina Kakoko wakaota mapembe, wakafanya ufisadi wa kutisha kwa kushirikiana na Mamlaka ya Juu...ndo juzi mlikuwa mnashangilia ametumbuliwa kwa wizi mlifikiri aliiba baada ya Magufuli kufa? au mlikuwa mnashangilia kitu gani?