RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kuna teke hapo au kamsukuma na mguu? Hakuna kipigo chochote cha maana hapo basi tu siku hizi watu mitandaoni wanajiona malaika. Katoto kafundi ka kupiga mayowe tu.Kwa hiyo unaona ni sawa mtu mzima kumpiga mtoto mateke kwani hakuna njia nyingine ya kumpa punishment.