Ndio maaana nimeweka jambo hili hapa ili wadau wanaofahamu vizuri walitolee ufafanuzi. isije ikwa tunamlaumu bure mama kumbe yupo sahihi 100%😳🙄😵Kwa hiyo amemfungisha na mtoto, hivi mama zetu sometimes wanawaza kupitia nini!? hili jambo ni la dini kweli!? hapa tusiipe dini negativity sidhani kama ni sheria huyo ana yake..
Isee hiyo avatar uitowe.Mambo mengine nikuyaendekeza tu, huyo mama mwenye kichanga hakupaswa kufunga......