Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,527
- 6,306
Hana tofauti na yule aliyeamua kwenda uwanja wa Taifa kuua familia nzima kwaajili ya Magufuli, hawa viumbe ni wa ajabu sana hata kama ana msambwanda kama kajala akili zao ni nusu kisoda
Kwa hiyo wewe unashauri mama aendelee kumnyima mtoto ziwa au unataka kusemaje mkuu? Funguka tunakusikiliza.Si bora huyo keshazaliwa na ana uwezo wa kula vyakula mbadala, kuna wajazwazito wanafunga sijui kichanga kilichopo tumboni kinakula nn maskini
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Ukiangalia Avatar ya mtu unaweza kumtafsiri huyo mtu alivyo hasa ktk matendo au hulka zake.Isee hiyo avatar uitowe.