Hana tofauti na yule aliyeamua kwenda uwanja wa Taifa kuua familia nzima kwaajili ya Magufuli, hawa viumbe ni wa ajabu sana hata kama ana msambwanda kama kajala akili zao ni nusu kisoda
Kwa Dini ya kiislamu mwanamke akijifungua inabidi mwanaume umlipe kukunyonyeshea mtoto wako atakuwa huyo hajalipwa mshahara wake ndio maana kagoma kunyonyesha