Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

Kwanza unakuwaje na mke anafanya kazi. Mke kazi yake kulea mume na watoto wakati baba anatafuta. Mama yuko sawa kabisa.
Akili zako na za huyo mwanamke aliacha kazi na kufuata m boo zinafanana.
 
Kuna watu kibao hawana kazi za kuajiriwa na wanaishi maisha mazuri tu kuliko hao waajiriwa! Mkuu usikariri maisha!!
Kama akina Mo na Bakhressa? Kwa hiyo unashauri watu waache kazi wajiajiri mkuu?
 
Kuna watu wako na maamuzi magumu🙆🙆🙆
Tena maamuzi magumu na ya ovyo kuliko kawaida. Watu wanatembea wakitafuta kazi mpaka soli za viatu zinaisha halafu anakuja mjinga mmoja anaacha kazi nzuri kwa sababu ya m.boo. inauma sana.
 
Mama yuko sawa 100%. Uharibu ndoa yako kwa mishahara hii ya kibongo wiki moja hautoshi.
 
Kama familia yote inajiweza kwanini asiache kazi na kumfuata mumewe?.

Umasikini ndio chanzo wanawake kuwa watafutaji.
Kazi gani bwana mshahara hata wiki haumalizi umeisha watu hapa utasikia kaacha kazi utasema alikuwa analipwa dola alfu 10. Mama ana busara ndoa ni muhimu kuliko hiyo million mwisho wa mwezi.
 
Hii ndio fwact yenyewe....mwanamke ni pambo inabidi atulie nyumbani kidume uchakarike.
Haya mambo ya kuoa mke yupo mwanza mume dodoma ni kudanganyana tuu hapo everybody will cheat its a matter of time tuu
Kabisa mwanamme mzima unategemea mke afanye kazi alishe nyumba. Kazi ya kuhudumia family ni mwanammke mke kuangalia family na kupata mahitaji kutoka kwa mumewe ndio majukumu yetu. Mimi binafsi mke anayechagua kazi dhidi ya mume huyo aende tu hana nafasi kwangu.
 
Uduvi
 
Utaratibu wa kuomba uhamisho kwa mke ukoje mkuu?
 
Kabisa mzeya. Mke kazi yake ni kugegedwa na kulea watoto.
Atavaa nini kula nini atasifirije hilo jukumu la mie kidume. Yeyye anipee mbususu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…