Mama amteka mtoto wake ili apate milion 20 kutoka kwa mumewe

mama anaupiga mwingi kafungua fursa na maisha ni rahisi kwa sasa.ndio haya watu pesa hakuna mpaka kijiji cha nguruwe kimefunguliwa
Hili ni tatizo kubwa sana mkuu. Hadi wanawake wanekuwa na roho mbaya zaidi ya shetani, tena wake wa ndoa. Wanaume tutafika tukiwa tumechoka sana.
 
When a woman is fed up nothing you can do about it,wanakuwa sumu mbaya sana,kibaya zaidi wengi hawarudi nyuma...
 
🤣🤣Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
Mama alitaka kulamba asali ya baba tu aachiwe huru hana hatia
 
🤣🤣Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
Mama alitaka kulamba asali ya baba tu aachiwe huru hana hatia
Kwanini alambe kwa njia haramu si angetumia njia ya kawaida mkuu?
 
Japo mimi ni mngoni ila angekuwa Mmachame kafanya hii kitu pasingetosha hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…