Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa kuvuna Tsh 20,000,000 kutoka kwa mume wake (baba wa mtekwaji).
Kufuatia utekahi huu, mkuu wa mkoa wa Mbeya, kwa kushirikiana na polisi, wamefanikiwa kuwanasa wahalifu wote, akiwemo mwanaume mmoja aliyekuwa akishirikiana na mama wa mtoto ili kujipatia kitita hicho bila jasho.
Hivi wanawake kweli wamefikia ukatili wa kiasi hiki? Huyu mwanamke hatifautiani na yule askari polisi aliyekula njama za kumuua mume wake kule Arusha ili anyakue mali zake. Wanawake wanajifanya wapole lakini wana roho mbaya zaidi ya nyoka. Mungu anawaona.
View: https://youtu.be/FSkfOIB4Gl0?si=XGRKpAJ71CD7p7OD
Namaanisha huyo mwanaume walioshirikiana kuteka, ndio kamshawishi (kumdanganya) wafanye uhuni huoKamdanganyaje mkuu?
Yameletwa na hawa wanawake wapenda fedha Mrs Besyige Mrs Dee charmingboy FaizaFoxyHayo yamefika Tanzania? Mimi nilifikiri hayo yametokea huko duniani!
Hata hivyo si vizuri kuwahukumu wanawake wote kwa kosa la mpumbavu mmoja. Kumbuka, hata mama yako ni mwanamke lakini hakukufanyia hilo.
Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa kuvuna Tsh 20,000,000 kutoka kwa mume wake (baba wa mtekwaji).
Kufuatia utekahi huu, mkuu wa mkoa wa Mbeya, kwa kushirikiana na polisi, wamefanikiwa kuwanasa wahalifu wote, akiwemo mwanaume mmoja aliyekuwa akishirikiana na mama wa mtoto ili kujipatia kitita hicho bila jasho.
Hivi wanawake kweli wamefikia ukatili wa kiasi hiki? Huyu mwanamke hatifautiani na yule askari polisi aliyekula njama za kumuua mume wake kule Arusha ili anyakue mali zake. Wanawake wanajifanya wapole lakini wana roho mbaya zaidi ya nyoka. Mungu anawaona.
View: https://youtu.be/FSkfOIB4Gl0?si=XGRKpAJ71CD7p7OD
Kwamba ghafla wavulana/wanaume wote wa nchi hii wamekua Malaikah watakatifu?!Maoni ya mwanamke mmmoja haya hapachini
=======================
Hii ni story ya kweli, kina jamaa alinipa kazi yakumtafutia mke nikiwa University, for sure nilikosa . Nilimwona mmoja tu mwenye nidhamu. Wakati najipanga kumpa mrejesho kuwa Kuna niliyemwona, nikaletewa kadi ya mchango na yule Binti kuwa anaolewa.Nikanyoosha mikono na kumrudisha majibu kuwa nimemkosa katika wanachuo zaidi ya elfu kumi. Malezi yameharibu sana watoto wengi na bado yanaendelea kuharibu.Nawaonea hura sana vijana wanaotafuta wake na mateso watakayokumbana Nayo. Mimi Kwa Sasa ni mama nayaona magumu watakayoyapitia ila sioni namna yakuwasaidia. Mwenyezi mungu awanusuru vijana wote wa kiume na awape uso wa kuona haya vijana wote wa kike waache kuchetua akili🙆♂️🙆♂️
Truly sad!All women are as stupid as donkeys!
Hivi, shetani ana/alikua na jinsia gani?Wan awake wana mambo ya ajabu sana. Walichokiongea na shetani kule Eden wanakijua wenyewe.
Alifikaje duniani huyo Yesu? Alipita mlango upi?Narudia tena, wanawake ni chanzo cha matatizo mengi hapa duniani. Pengine ndiyo sababu Yesu kristo hakujihusisha nao.
True.Wanawake ni majitu ya ajabu sana hapa duniani