Mama amteka mtoto wake ili apate milion 20 kutoka kwa mumewe

Japo mimi ni mngoni ila angekuwa Mmachame kafanya hii kitu pasingetosha hapa.
Wanawake wana mambo ya ajabu sana. Walichokiongea na shetani kule Eden wanakijua wenyewe.
 
Hayo yamefika Tanzania? Mimi nilifikiri hayo yametokea huko duniani!

Hata hivyo si vizuri kuwahukumu wanawake wote kwa kosa la mpumbavu mmoja. Kumbuka, hata mama yako ni mwanamke lakini hakukufanyia hilo.
 
Narudia tena, wanawake ni chanzo cha matatizo mengi hapa duniani. Pengine ndiyo sababu Yesu kristo hakujihusisha nao.
 
Narudia tena, wanawake ni chanzo cha matatizo mengi hapa duniani. Pengine ndiyo sababu Yesu kristo hakujihusisha nao.
Wanawake ni majitu ya ajabu sana hapa duniani
 
Tukiwaonya kuwa ndoa ni uhuni na utapeli hamuelewi, tufanyeje?
 
bila shaka alkua anadaiwa vikoba na silk
 
bila shaka alkua anadaiwa vikoba na silk
Vicoba ndio vimdai milioni 20? Huyo atakuwa alikengeushwa na mchepuko wake wakaamua kula deal la kumkamua mume wake mamilioni ya hela kisha wamuue waenjoy maisha.
 
Sasa siangemteka mumewe ndo mwenyepesa
Mpuuzi sn.
 
Kwamba ghafla wavulana/wanaume wote wa nchi hii wamekua Malaikah watakatifu?!

Hao wasichana/wanawake wanachetua akili na akina nani?

Ambae bado anatizama uvundo wa maadili ndani ya jamii kwa macho ya jinsia, bado amechelewa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…