Mama amteka mtoto wake ili apate milion 20 kutoka kwa mumewe

Kwamba ghafla wavulana/wanaume wote wa nchi hii wamekua Malaikah watakatifu?!

Hao wasichana/wanawake wanachetua akili na akina nani?

Ambae bado anatizama uvundo wa maadili ndani ya jamii kwa macho ya jinsia, bado amechelewa sana.
Siku hz ni rahisi kutafuta dhahabu kuliko kutafuta mke wa kuoa. Dunia imeharibika sana. Wasichana wengi wanaanza kudinywa wakiwa under 17. Wakifika 20 tu K zinakuwa sugu, hawafai kabisa.
 
Kadri siku zinacyosonga tunashuhudia maovu ya wanawake. Jana mwanamke mmoja kamuua mumewe kwa kumchoma kisu tumboni huko Arusha.
 
Tukiwauliza wanawake wanaweza kutuambia kwa kuwa wao ndio walioonana na shetani live kule Eden
Jinsia ni mbili tu, ya kiume na ya Kike. Sasa ndugu shetani yake ipi mpaka akafanikiwa kumlaghai Eva?

Na walaghai wakubwa wa jinsia Ke wanajulikana.
 
Siku hz ni rahisi kutafuta dhahabu kuliko kutafuta mke wa kuoa. Dunia imeharibika sana. Wasichana wengi wanaanza kudinywa wakiwa under 17. Wakifika 20 tu K zinakuwa sugu, hawafai kabisa.
Kumbe wanadinywa??

Basi maajabu hakuna, nilidhani wanajidinya wenyewe.

Hao wadinyaji nao wana usafi kiasi gani?
 
Aisee wanawake bhana kila kukicha wanazidi kugundua vyanzo vipya vya mapato
 
Na ukute huko vicobani anadaiwa 20,000 tu lakini yeye kaamua kukamua 20,000,000. Wanawake wengine akili zao anazijua Mungu tu.
Hivi hakuona kama anahatarisha maisha ya mtoto kwa upuuzi wake?Ndiyo maana kuna nchi ukimteka mtu unafungwa kifungo kirefu hadi uimbe nyimbo zote.
 
Sasa ngoja aende kunyea debe akili zimrudie mpuuzi mkubwa. Hana akili kabisa punguani wahed.
 
Huyo mama ana hatari kubwa. Hivi mtoto wake ,huyo akiwa mkubwa akasimuliwa na watu jinsi alivyotekwa na mama atamueleza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…