Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

hyo ya kutusamehe ni maamuzi yenu wala hakuna anayewalazimisha. Mm binafsi nikimfuma mke wangu hakuna mjadala ni mwendo wa talaka tu. Hata yeye akinifuma uamuzi ni wake kuniacha. Akijifanya kunisamehe hicho ni kiherehere chake
Mama weee mkeo asiwepo humu mkuu
 
 
una roho ya chuma huwez kuwa katili kiasi hicho kwa mwenzako.ameomba msamaha wadhati toka moyoni bdo unamfanyia ukatili kiasi hicho.nakushauri mrudiane namke wako ubaya haulipwi kwa ubaya utakuja kujuta maishani.nakamwe uelewe waz watoto wako wakilelewa namamakambo watateseka sna na utawahiribu kisaikolojia.mrudiane huyo mwanamke atakuheshmu sna sbb tayari ameshaona jeuri ya kiburi
 
Pokea huu ushauri ni kweli tupu.
 
Tena na rafiki yako,kitandani kwenu,lazima uumie ILA kosa lako umewaonyesha watoto ugomvi wenu,mengine nakuwachia wewe,ushauri WA Kipilipili mzuri
 
'nilimuachia kadi ya benk'
na kosa la kuzini husamehi.
Mkuu piga chini,hao walikuwa wazinzi longtime..
Wife ili aondoke fasta pulizia
Upupu chumba chake..
 
Baaaaaaaaaaaaasi umemaliza, ilitakiwa tu baada ya kudibitisha habari hizi za wife wako kutiwa na rafiki yako ungepaswa kufungusha kilicho chako na kuelekea kusikojulikana.
 
Baaaaaaaaaaaaasi umemaliza, ilitakiwa tu baada ya kudibitisha habari hizi za wife wako kutiwa na rafiki yako ungepaswa kufungusha kilicho chako na kuelekea kusikojulikana.
Lakini akafanya ufala wa kuna kutia mwanamke mwingine ndani
 
Lakini akafanya ufala wa kuna kutia mwanamke mwingine ndani
Hakukua na haja ya kushindana na kujivunjia heshima hapo mtaani na pengine watu wengi walikuwa wakimheshimu lkn kwa aliyoyafanya yeye ndio kaonekana chizi badala ya mke wake, yani hii inanikumbusha msemo usemao nani ataonekana chizi pale mtu aliyechukuliwa nguo na chizi na kuanza kumfukuza huku yeye akiwa uchi?
 
Anayemkimbiza chizi akiwa uchi.. Bad enough wameharibu watoto yani mbaya sana
 
Dah! Kitendo cha mkeo kupigiwa kwenye chumba chenu cha ndoa ndio kinaniuma zaidi. Angekuwa kapigiwa guest house, ningesema kaheshimu ndoa yenu sema tu alizidiwa na genye... Kwa alichokifanya kwenye chumba chenu cha ndoa sikupi option ya kumsamehe kwa hilo. Seriously bora uhame ukaanze kwingine...
 
Wakati unasusa tokea 2012 huyo jamaa bado anakula utamu taratibu tu
 
mkuu sio rahisi kihivyo,ni ngumu sana kurudiana na mwanamke aliyekusaliti tena kazini na rafiki yako
 
Rudianeni kama wadau wengi wanavyoshauri. ..Pia Tafadhali muoneni DR. CHRIS MAUKI.. maana hii kitu imekaa psychological zaidi na navyomfahamu Dr. Mauki, hii case itaisha chap na Roho zitakuwa nyeupe tena.
 
Anayemkimbiza chizi akiwa uchi.. Bad enough wameharibu watoto yani mbaya sana
Its much better for him to look for the new beginning, all in all pole zake. I think hasira ilitawala sana badala ya busara kwakweli ni vyema kila mtu awe anajiuliza what would you do once ikitokea umepatwa na janga kama hili, maana unaweza ukajikuta umechukua maamuzi ya hovyooo.....kabisa ukashangaza jamii inayokuzunguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…