Uzi wako umeenda wapi ngalo😂Huyo kijana alitokaje nyumbani baada ya kutambulishwa na mke wako kuwa ni shemeji yako? Haukuchinja hata kuku kwa ajili ya mgeni huyo? Kwa nini haukumhoji mkeo kabla mgeni hajaondoka? Huenda wewe ni simp :1H: :2H: :3H: :4H:
uzi upi mkuu?Uzi wako umeenda wapi ngalo
Za watu tusioapenda tutaje id zao🤭uzi upi mkuu?
Namuomba Sir God nipate mke mwenye kichwa kama hiki.Mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe! Achana naye! Akipigika atakucheki mwenyewe usijipe stress ndoa ni ya watu wawili hayamuhusu hata mama yako! Kama hawakuelewi wote kausha..!
Njoo nikupe binti yangu🙂Namuomba Sir God nipate mke mwenye kichwa kama hiki.
labda mods wameufuta.Za watu tusiwapenda tutaje is zao
Usije kuniroga utaniambia kijana huna adabu kutaka kula kuku na yai lake tangulia kuzimu.Njoo nikupe binti yangu