Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Umezimwa kama taa🌚labda mods wameufuta.
Umezimwa kama taa🌚labda mods wameufuta.
Pumbavu ww nakunyoosha na babaako😏Usije kuniroga utaniambia kijana huna adabu kutaka kula kuku na yai lake tangulia kuzimu.
uzi ume RIPUmezimwa kama taa
Acha hasira ma mkwee, nikuletee mbuzi na matenga ya kuku wangapi unipatie huyo mkamwana?Pumbavu ww nakunyoosha na babaako
Utaleta mbuzi 200 na kuku 3000😏Acha hasira ma mkwee, nikuletee mbuzi na matenga ya kuku wangapi unipatie huyo mkamwana?
Utasubiri hadi mbingu imalizike, ukoo wa Mijusi hatutapeliki kizembe bhana!Utaleta mbuzi 200 na kuku 3000
Kwani mnaijenga mbingu fundi mjusi? Mnatapelika vzr tu sijaamua..Utasubiri hadi mbingu imalizike, ukoo wa Mijusi hatutapeliki kizembe bhana!
Utawezea wapi, wakati mtu mwenyewe ni mrukaruka kwaya kanisani pale kwa pasta Mkae Kwa Kutulia Mnyonyolewe Dhaka, sasa wewe na utapeli wapi na wapi muumini mtiifu?Kwani mnaijenga mbingu fundi mjusi? Mnatapelika vzr tu sijaamua..
Mods hawakupendii na wa vuzito wamepita nao🤣🤣🤣🤣🤣labda mods wameufuta.
Jichanganyeee!Utawezea wapi, wakati mtu mwenyewe ni mrukaruka kwaya kanisani pale kwa pasta Mkae Kwa Kutulia Mnyonyolewe Dhaka, sasa wewe na utapeli wapi na wapi muumini mtiifu?
Nakungoja nione, kondoo wa bwana usijivike ngozi ya chui.Jichanganyeee!