Mama ananiingiza kwenye shimo la giza bila kujua

Samahani mkuu, but inaonekana bi mkubwa wako alikuwa anamcheat mshua wako ndo maana hapo anakwambia unataka kuwa kama faza wako. So kwake kucheat anaona kawaida maana ndio ilikuwa tabia yake kwa mshua.
 
Pale ambapo mapenzi hutuzidi ujazo halisi. Mkuu hakikisha mwanamke anakupenda wewe ili iwe rahisi kumumudu, tatizo huanzia mwanamme ndio akampenda zaidi mwanamke.

Mama yako mpende na kumheshimu ila katika issue za mahusiano mhusishe baba ambae ni mwanaume mwenzio
 
mwanae ananiingiza kwenye shimo mpaka wa leo mama hakanyangi kwangu wala kuongea na mimi mpaka pale mtakapo rudisha mke wangu ambaye aliondoka mwenyewe baada ya kujua nimejua uchafu wake ambao alikuwa anafanya
Mkeo aligongwa na bodaboda mkuu, pole sana hawa bodaboda wanawamaliza sana wake za watu
 
Mama yako mpende na kumheshimu ila katika issue za mahusiano mhusishe baba ambae ni mwanaume mwenzio
Ndio kweli upo sahihi ila hapo inaonekana huyo malaya kakimbilia kwa mama yake na unaweza kuta hata hao watoto jamaa sio wa kwake kabisa na huko alipokimbilia kwa mama yake huyo bodaboda anaenda kujipigia hukohuko hata akirudi kashakamuliwa sana, presha za nini wazee kwani tukifa si tunaiacha hapa au tunazikwa nayo?
 
Kosa kubwa sana ulilofanya ni siku ile ulipomkuta huyo kwako na ukakubali kudanganywa
Jamaa ni mdebwedo sana au tuseme ni mpole kupitiliza mpaka mkewe anamdharau!
Hivi kwa hali ya kawaida umerudi nyumbani unakuta njemba ambalo unahisi kabisa linamtafunaga mkeo eti unarelax kabisa !
Tena si ajabu jamaa walikula chakula pamoja mezani halafu muda wa kulala likatandikiwa na kitanda kabisa likalala hapo halafu asubuhi jamaa akaenda kazini akawaachia uwanja wakiwashe cha asubuhiπŸ˜€
 
"na dediketi kwako kibao cha bizzman"
aseh kumbe kuna watu unaeza kutana nao road wako smart kimavazi lkn kichwan box yam unataka uingie kweny tanuri la jahanam et kisa kumsikiliza mtu et mama mama mama aseh...hapo hujaoa mke bali umeoa malaya
 

Achana Na Mambo Ya Kuumizana Kichwa,,Na Mtu/Watu Wazima....Yapo Mambo Mengi Sana Ya Msingi Na Ya Maana Mnoo,Yakufanya Kwa Ajili Ya Ustawi Wako Akili,,Mwili,,Na Roho....###MaraBoda###MaraMtotoWaShangazi###​
 
Samahani mkuu, but inaonekana bi mkubwa wako alikuwa anamcheat mshua wako ndo maana hapo anakwambia unataka kuwa kama faza wako. So kwake kucheat anaona kawaida maana ndio ilikuwa tabia yake kwa mshua.
πŸ’―πŸŽ―
 
Malaya kaamua kuondoka mwenyewe achana nae ilitakiwa nawewe usimpigie kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…