Mama ananiingiza kwenye shimo la giza bila kujua

mzazi wako inabidi akubaliane na matokeo uliyofikia wewe mkuu, akikataa usihangaike sana
 
Kiliwahi kunikuta kitu kama hiki mke nilimfumania kwao na mchungaji mmoja hivi wa TAG live kabisa aisee Kibao kikanigeukia mimi...chakushangaza wazazi wangu na ndugu zangu wanadai nimsamehe tulee mtoto licha ya kuwasimulia mikasa mingi ya usaliti wa yule malaya.Ila kwakuwa maisha ni yangu nikafanya maamuzi magumu nikampiga chini mwanamke na nikatafuta mwingine bila kumuhusisha yeyote yule nikakaa mwaka nimekata mawasiliano nao na hawamjui mke niliyemuoa
 
Godoro la kioo soma hiyo
 
Biblia inasema tuishi nao kwa akili, Ni viumbe ambao huwa hawajui wanachokitaka kwenye maisha
 
Maamuzi ya kiume hayo, mie suala la hivi sitaki ushauri.. mie ndio nalala nae, mie ndio najua kila kitu kisha we uje ulazimishe tulee watoto wangapi wamelelewa wazazi wameachachana na wamekua fresh tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…