Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

Kwamba anawaogopa WANADAMU kuliko Kumwogopa Mungu?

Kwa maana imeandikwa HAKI huinua Taifa, na RUSHWA hupofusha ufahamu.

Bt naamini unasaga tu SUMU!!!!
Huyo anawaogopa hao mabwana hatari.
 
Il mama akiamua kuvunja ndoa na 'msoga' basi atakuwa huru sana kuipeleka nchi kwa maono yake pasipo kuingiliwa. Usalama wamsaidie mama ktk hilo.
 
Utakuwa rais mpuuzi kama unamuogopa waziri ambaye umemteua wewe mwenyewe labda kama uwe cosmetic president ambaye unaongoza kwa kupokea maelekezo toka kwa majambawazi mengine.
 
Il mama akiamua kuvunja ndoa na 'msoga' basi atakuwa huru sana kuipeleka nchi kwa maono yake pasipo kuingiliwa. Usalama wamsaidie mama ktk hilo.
Ye mwenyewe aliamini hawezi kitu nje ya msoga. Msoga ni failure leadership.

Chama kilimkataa msoga na watanzania walimkataa.

Msiga ni waaasisi wa makundi ya wanufaikaji wachache ndani ya chama na serikali na ndio maana watu wake wote kawarudisha. Kina vick kamata, kina halima dendego na wengineo wengi.

Mama kajiingiza kwenye ngoma iliyomshinda mkwere.
 
Dogo janja ni hatari sana tena sana kwa maendeleo yoyote Yale.
 

Ha haaa 😅😅
 
Kiukweli, kuna watu ukiwaangalia tu imani inapotea au hawaaminiki, mmojawapo ni huyo Dogo janja, hata uweke moyo ukwambie vumilia, roho inakwambia mmhh hapana, huyo sie. Uongozi ni Imani, uaminifu mkubwa sana, so ukiwa watu hawana imani au huaminiki ndio basi tena.
 
Huu uzi umeandikwa na mtu wa JPM anayedhani Kalemani ni mtakatifu asiye na makosa katika utendaji wake.

Nilichojifunza ndani ya miaka sita ya mwishoni ni kwamba sisi watu wa kanda ya ziwa hatufai kabisa kupewa vyeo vya juu vyenye majukumu ya kufanya maamuzi mazito, tupo sana na ile superiority complex ambayo ni mbaya sana.

Ujasiri ukizidi ni mbaya kwa hao wanaoongozwa.
 
😂😂😂

Eti anaenda kupost picha za mtu anaota moto kwa ngazi...

Umenikumbusha mbali sana mkuu.
 
Hivi hii tabia ya kuwasifia waliotemwa kwenye kazi zao za zamani why warudishwe?

Hakuna wenye uwezo wa kazi hizi mpaka wawe recycled tu
 
Narudia tena, Wizara sio TANESCO peke yake, Kuna mengi makubwa yanakuja. Yanahitaji exposure na uelewa wa Diplomasia ya Uchumi wa kileo. Makamba ana sifa hizo ndio maana akachaguliwa. Mama ataibadilisha Nchi hii pakubwa sana. Watch this space! Wala Mama hata angalia nyuma, asije akageuka jiwe.
 
Wewe ni Mungu?
 
Unaweza kua na nia dhati lakini ukishapewa wizara sasa unaona changamoto itabidi ujumuike nao tu uwe ukoo wa panya. Ukitaka kujiuzilu utakataliwa na kutishwa hadi wakufuze wenyewe. Labda uwe mjeuri kama Chalamila alivyolazimisha kufukuzwa ukuu wa mkoa kwa kufanya vituko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…