sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Huyo anawaogopa hao mabwana hatari.Kwamba anawaogopa WANADAMU kuliko Kumwogopa Mungu?
Kwa maana imeandikwa HAKI huinua Taifa, na RUSHWA hupofusha ufahamu.
Bt naamini unasaga tu SUMU!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo anawaogopa hao mabwana hatari.Kwamba anawaogopa WANADAMU kuliko Kumwogopa Mungu?
Kwa maana imeandikwa HAKI huinua Taifa, na RUSHWA hupofusha ufahamu.
Bt naamini unasaga tu SUMU!!!!
Utakuwa rais mpuuzi kama unamuogopa waziri ambaye umemteua wewe mwenyewe labda kama uwe cosmetic president ambaye unaongoza kwa kupokea maelekezo toka kwa majambawazi mengine.Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa.
Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja chini ya dogo janja.
Kwa miezi 3 sasa mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani mjengoni bila kumkasirisha dogo janja lkn bado hajapata. Aliwahi kwenda kwa mstaafu kuomba ushauri akaambiwa muache kabisa huyo 'last born'.
Akaenda kwa Mumogadishu kuomba ushauri, akaambiwa huyo ukimgusa tu anakimbilia Twitter kupost zile Picha zake za mtu anaota Moto kwa ngazi. Wakuu kwa vile mama anapita hapa kila siku ebu tumpe ushauri wa kusolve hii inshu.
Ye mwenyewe aliamini hawezi kitu nje ya msoga. Msoga ni failure leadership.Il mama akiamua kuvunja ndoa na 'msoga' basi atakuwa huru sana kuipeleka nchi kwa maono yake pasipo kuingiliwa. Usalama wamsaidie mama ktk hilo.
Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa.
Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja chini ya dogo janja.
Kwa miezi 3 sasa mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani mjengoni bila kumkasirisha dogo janja lkn bado hajapata. Aliwahi kwenda kwa mstaafu kuomba ushauri akaambiwa muache kabisa huyo 'last born'.
Akaenda kwa Mumogadishu kuomba ushauri, akaambiwa huyo ukimgusa tu anakimbilia Twitter kupost zile Picha zake za mtu anaota Moto kwa ngazi. Wakuu kwa vile mama anapita hapa kila siku ebu tumpe ushauri wa kusolve hii inshu.
Halikwepeki as long as yupo kwenye ofisi ya uma.Mnahangaika Sana na January
Narudia tena, Wizara sio TANESCO peke yake, Kuna mengi makubwa yanakuja. Yanahitaji exposure na uelewa wa Diplomasia ya Uchumi wa kileo. Makamba ana sifa hizo ndio maana akachaguliwa. Mama ataibadilisha Nchi hii pakubwa sana. Watch this space! Wala Mama hata angalia nyuma, asije akageuka jiwe.Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa.
Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja chini ya dogo janja.
Kwa miezi 3 sasa mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani mjengoni bila kumkasirisha dogo janja lkn bado hajapata. Aliwahi kwenda kwa mstaafu kuomba ushauri akaambiwa muache kabisa huyo 'last born'.
Akaenda kwa Mumogadishu kuomba ushauri, akaambiwa huyo ukimgusa tu anakimbilia Twitter kupost zile Picha zake za mtu anaota Moto kwa ngazi. Wakuu kwa vile mama anapita hapa kila siku ebu tumpe ushauri wa kusolve hii inshu.
Wewe ni Mungu?Wabongo bwana! January yupo pale hadi 2030. Tunajua mna wivu lakini vumilieni tu. Mnazidi kuiponda Serikali, pamoja na January, wenzenu wanazindua miradi tu, Wanakopeshwa na kukopesheka, na wanaongoza bila wasiwasi. Watu wanakula kuku, huku nyinyi mnapiga ramli za kuwanga atatoka lini. Poleni Wabongo roho mbaya.
Jiwe anazidi kulemewa na shehena za kutosha za kuni anazozidi kukusanya abanikwe.Zumbukuku anasemaje kwani?
Unataka tufanyeje na wizara yake haipaform!!??Mnahangaika Sana na January
Watu wajinga utawajua tu.Jiwe anazidi kulemewa na shehena za kutosha za kuni anazozidi kukusanya abanikwe.
Unaweza kua na nia dhati lakini ukishapewa wizara sasa unaona changamoto itabidi ujumuike nao tu uwe ukoo wa panya. Ukitaka kujiuzilu utakataliwa na kutishwa hadi wakufuze wenyewe. Labda uwe mjeuri kama Chalamila alivyolazimisha kufukuzwa ukuu wa mkoa kwa kufanya vituko.Mama Bora aniteue Mimi niwe msaidizi wake wa hii sekta muhimu ya umeme. Namuhakikishia kwa 100% hatojutia maamuzi yake.
Nashindwa jinsi ya kumfikishia ujumbe Katibu Mkuu kiongozi Ili ajue ni namna gani watu wanaweza kusaidia maeneo nyeti kama haya kwa mustakabali wa maendeleo ya wananchi na TAIFA kwa ujumla wake
Nimefikia hatua najaribu kuwaza, hivi nchi hii kwanini watu hawana huruma na mamilioni ya watanzania? Kwanini rasilimali za nchi hii zinachezewa kwa manufaa ya wachache ambao wao ndio wanaona Wana hati miliki ya nchi hii wakati hii nchi ni ya watanzania wote na Wana haki ya kufaidika na utajiri au rasilimali za nchi ! JIBU ni HAPANA, HAPANA HAPANA.
MH. Rais , na MH. Katibu Mkuu Kiongozi, Kuna kitu inabidi mfanye Ili muache legacy ambayo kila kizazi kitawakumbuka. Waswahili Wana msemo unasema ukimchekea nyani mwishowe utavuna mabua. Chukueni maamuzi magumu japo wachache kwa maslahi Yao binafsi hayatawafurahisha lakini mtakua mmesaidia mamilioni ya watanzania na TAIFA letu litazidi kuheshimika duniaini.
Natamani kuonana nawe Mh. Rais , face to face tuongee mengi tu, ikishindikana basi Katibu Mkuu Kiongozi. Naomba tuwasiliane kama hamtojali, japo naamini ujumbe huu mtaupata ila mta-ni-underate na kunipuuzia, POA HAKUNA TATIZO ILA SIKU MOJA MTAKUJA KUNIELEWA KUWA NILIKUWA SAHIHI KWA MUDA SAHIHI.
MY PROFILE
1. Sio mchumia tumbo, na sio chawa na siutaki uchawa.
2. Mwaka 2020 niliomba kuteuliwa na Chama kupitia CCM kugombea Ubunge na kwa bahati mbaya kura za maoni hazikuniwezesha kusonga mbele.
3. Mwaka huu January niliomba Chama kiridhie kupitisha jina langu kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CCM, katika majina yaliyokuwa yanasambaa mitandaoni jina langu lilikuwa namba 3, likitanguliwq na la Mh. Sophia Simba, Mtemi Chenge, then la kwangu linafuata.
4. Uchaguzi wa CHAMA CHA MAPINDUZI - niliomba nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa, na MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM, huko jina langu lilichinjiliwa mbali kabisaa.
Anyway, nisiwachose , naendelea kutumikia serikali yangu kwa nafasi niliyopo and I feel proud with my career lakini naumia kuona namna Gani watu wanashindwa kuwa na uchungu na maisha ya watanzania ambao ni mamilioni ya watu huku wao wakifanya mambo ya kifisadi kwa maslahi Yao na familia zao.
Binafsi nasema hapana, something should be done.
I believe that still your not late, you can do something better for the benefits of the majority of citizens and the entire nation.
Nawatakia kazi njema na Mungu awape maoni mazuri ya kuliongoza TAIFA letu.
ASANTE.
Nextpresd
.
Tulia weweee mjane. Mfuate sasa huko kuzimu umsaidie kukusanya kuni mbanikwe pamoja.Watu wajinga utawajua tu.