Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

Mkuu unamtafutia Kalemani force death?
thetallest hakika Dkt Kalemani atulie kabisa maana January na Baba yake walishasema watu wazuri hawafi, watamuua Dkt wa watu bila ganzi maana uchu wa wizi walionao ni balaa, yaani kama huyo beanz na 1 wivyojikausha bila hata kumtaja
 
Yule jamaa si kasome usuluhishi wa migogoro huko marekani

Ampeleke foreign akaoneshe umahiri wake

Hizi sector zingine awaachie wabobezi.
 
Kalemani hawezi kurudishwa ni mkristo
Sio swala la udini. Ni mambo ya kitaalamu zaidi. Ni political and economic orientation. Yaani ni mtizamo wa mhusika kisiasa na kiuchumi. Either ni populist au pragmatist, either ni progressive or non- progressive.

Hii ni Karne ya 21, Karne ya biashara, Karne ya kujenga smart partnerships kati ya Nchi na Nchi, kati ya Nchi na Multinationals, Karne ya Science and technology!

Hatuwezi kujifungia ndani na kuanza kuita watu majina. Hatuwezi kuendelea kutumia lugha za wakati wa kutafuta uhuru. Tunatakiwa kutumia lugha za kujenga, kushirikisha kuaminiana na wakati huo huo kujua tunachotaka kukifanya. Inatakiwa watu wenye muono mpana ( wide worldview) wa mambo ya Dunia, watu wenye exposure na wanaojua namna ya kuongea na kupangilia mambo Yao hapo nyumbani na kwenye uwanda wa kimataifa.
 
Amoe dogo ubalozi
 
Sasa mkuu wa nchi akifanya kaz kwa kumuogopa mtu si itakuwa balaa..?! Mm nafikiri awaite wote meza moja Kaliman na Uyo dogo janja na awaambie dogo janja mpe mzee funguo alafu wewe nakupa kaz ingine tena ikiwezekana ampeleke kule kule Muungano na mazingira.!
 
January ni mwamba kwenye goli la mkono.

Niiitieni The Boss kwa Kaleman ni brother in need.
 
Sukuma gang unaweweseka.
 
Katika mawaziri ambao niliona waliondolewa kifitna ni Kalemani.Frankly hapa-kuwa na sababu ya kumuondoa Kalemani,he was such a hard working young man.Makamba ni dogo wa michongo tu,hamna kitu Ukweli ni kwamba Samia lazima asimamia interests za nchi.Dogo aondolewe,Kalemani arudi,lolote liwalo na liwe hatuwezi kulinda interests za a few indivuals.Kikwete kuleee..........,tunamjua huyoo. hajali maslahi ya Watanzania kabisa.
 
Wachunga ng'ombe ni washamba sana,ni wendawazimu kufikiri eti Kalemani ni very special kuliko mtu yoyote.
Tatizo kubwa la wachungang'ombe ni ushamba.
 
Kwa hiyo Makamba ndiyo ana hivyo vitu? shame on you
 
amiri jeshi mkuu(wa polisi, TISS, JWTZ, Immigration etc) anamuogopa kibaka? haiingii akilini....
 
Dogo kawekwa pale kimkakati, na mkakati mkubwa ni kwamba 2025 wanatengeneza ngome imara ambayo itatoa support kwenye future ya dogo ya ndoto ya Urais baada ya 2025. na sehemu ambayo anaweza tengeneza mazingira wezeshi (pesa na Credibility ni hapo Nishati ambako anaonekana na kusikika kila uchwao!!

Ushauri kwa Mama,
Ukitaka kumuua Kima usimwangalie usoni, ni mwenye uso wa simanzi za unafiki, kutokumdhibiti ni kutengeneza ubovu wa kesho yako, Dogo janja atakuharibia. Huku mtaani Bumbuli wanachama wa Bumbuli Development Project wameripuka nao wanadai walisainishwa kama wananchama wanaohitaji 1Billion loan kutoka moja ya Pension fund (by then) lkn hawajawahi hata kuona Mia ikifanya chochote katika ile miradi ilizungumziwa wakati wa vikao.... nao wanamwona Dogo kama mwendelezo wa janga... mama Shituka! hata mtoto anayependwa sana na wazazi wake huenda ndo anarishishwa uchawi!!!
 
Kalemani ndiyo yule ID yake inaitwa Suzy Elias
 
Ramli chonganishi........Ila hawa mbuzi wache walaluane wenyewe Kwa wenyewe
Hawa ni mbuzi lakini kuwaacha wararuane wenyewe kwa wenyewe haina tija sisi ndio waathirika.......tusichoke kukemea japo SAUTI zetu hazizingatiwi lakini inasaidia kuwapa woga kuwa kuna watu wanaolia....... wanaweza kupunguza Kasi ya ulaji
 
Mkuu vp hii wizara aliyepolekwa dogo janja?
DKwanza ampeleke kwenye wizara ambayo ipo kimya kidogo yaani haivumi sana wala haina impact Moja kwa moja kwa wananchi!

Kama mazingira, Muungano, sanaa na utamaduni!! yaani amfiche kama alivomficha mchengerwa!

Halafu Kalemani arudi kwake!
V
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…