residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hao Watanzania mamilioni ni wabunge!!?yaani afanye recycle watu hao hao tu katika Watanzania Mamilioni?...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao Watanzania mamilioni ni wabunge!!?yaani afanye recycle watu hao hao tu katika Watanzania Mamilioni?...
thetallest hakika Dkt Kalemani atulie kabisa maana January na Baba yake walishasema watu wazuri hawafi, watamuua Dkt wa watu bila ganzi maana uchu wa wizi walionao ni balaa, yaani kama huyo beanz na 1 wivyojikausha bila hata kumtajaMkuu unamtafutia Kalemani force death?
Sio swala la udini. Ni mambo ya kitaalamu zaidi. Ni political and economic orientation. Yaani ni mtizamo wa mhusika kisiasa na kiuchumi. Either ni populist au pragmatist, either ni progressive or non- progressive.Kalemani hawezi kurudishwa ni mkristo
Amoe dogo ubaloziMama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa.
Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja chini ya dogo janja.
Kwa miezi 3 sasa mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani mjengoni bila kumkasirisha dogo janja lkn bado hajapata. Aliwahi kwenda kwa mstaafu kuomba ushauri akaambiwa muache kabisa huyo 'last born'.
Akaenda kwa Mumogadishu kuomba ushauri, akaambiwa huyo ukimgusa tu anakimbilia Twitter kupost zile Picha zake za mtu anaota Moto kwa ngazi. Wakuu kwa vile mama anapita hapa kila siku ebu tumpe ushauri wa kusolve hii inshu.
Sukuma gang unaweweseka.Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa.
Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja chini ya dogo janja.
Kwa miezi 3 sasa mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani mjengoni bila kumkasirisha dogo janja lkn bado hajapata. Aliwahi kwenda kwa mstaafu kuomba ushauri akaambiwa muache kabisa huyo 'last born'.
Akaenda kwa Mumogadishu kuomba ushauri, akaambiwa huyo ukimgusa tu anakimbilia Twitter kupost zile Picha zake za mtu anaota Moto kwa ngazi. Wakuu kwa vile mama anapita hapa kila siku ebu tumpe ushauri wa kusolve hii inshu.
Owe hivyo mkuuKwanza ampeleke kwenye wizara ambayo ipo kimya kidogo yaani haivumi sana wala haina impact Moja kwa moja kwa wananchi!
Kama mazingira, Muungano, sanaa na utamaduni!! yaani amfiche kama alivomficha mchengerwa!
Halafu Kalemani arudi kwake!
Katika mawaziri ambao niliona waliondolewa kifitna ni Kalemani.Frankly hapa-kuwa na sababu ya kumuondoa Kalemani,he was such a hard working young man.Makamba ni dogo wa michongo tu,hamna kitu Ukweli ni kwamba Samia lazima asimamia interests za nchi.Dogo aondolewe,Kalemani arudi,lolote liwalo na liwe hatuwezi kulinda interests za a few indivuals.Kikwete kuleee..........,tunamjua huyoo. hajali maslahi ya Watanzania kabisa.Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa.
Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja chini ya dogo janja.
Kwa miezi 3 sasa mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani mjengoni bila kumkasirisha dogo janja lkn bado hajapata. Aliwahi kwenda kwa mstaafu kuomba ushauri akaambiwa muache kabisa huyo 'last born'.
Akaenda kwa Mumogadishu kuomba ushauri, akaambiwa huyo ukimgusa tu anakimbilia Twitter kupost zile Picha zake za mtu anaota Moto kwa ngazi. Wakuu kwa vile mama anapita hapa kila siku ebu tumpe ushauri wa kusolve hii inshu.
Kwa hiyo Makamba ndiyo ana hivyo vitu? shame on youSio swala la udini. Ni mambo ya kitaalamu zaidi. Ni political and economic orientation. Yaani ni mtizamo wa mhusika kisiasa na kiuchumi. Either ni populist au pragmatist, either ni progressive or non- progressive.
Hii ni Karne ya 21, Karne ya biashara, Karne ya kujenga smart partnerships kati ya Nchi na Nchi, kati ya Nchi na Multinationals, Karne ya Science and technology!
Hatuwezi kujifungia ndani na kuanza kuita watu majina. Hatuwezi kuendelea kutumia lugha za wakati wa kutafuta uhuru. Tunatakiwa kutumia lugha za kujenga, kushirikisha kuaminiana na wakati huo huo kujua tunachotaka kukifanya. Inatakiwa watu wenye muono mpana ( wide worldview) wa mambo ya Dunia, watu wenye exposure na wanaojua namna ya kuongea na kupangilia mambo Yao hapo nyumbani na kwenye uwanda wa kimataifa.
amiri jeshi mkuu(wa polisi, TISS, JWTZ, Immigration etc) anamuogopa kibaka? haiingii akilini....Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa.
Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja chini ya dogo janja.
Kwa miezi 3 sasa mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani mjengoni bila kumkasirisha dogo janja lkn bado hajapata. Aliwahi kwenda kwa mstaafu kuomba ushauri akaambiwa muache kabisa huyo 'last born'.
Akaenda kwa Mumogadishu kuomba ushauri, akaambiwa huyo ukimgusa tu anakimbilia Twitter kupost zile Picha zake za mtu anaota Moto kwa ngazi. Wakuu kwa vile mama anapita hapa kila siku ebu tumpe ushauri wa kusolve hii inshu.
Yes. Yuko vizuri upande huoKwa hiyo Makamba ndiyo ana hivyo vitu? shame on you
Dogo kawekwa pale kimkakati, na mkakati mkubwa ni kwamba 2025 wanatengeneza ngome imara ambayo itatoa support kwenye future ya dogo ya ndoto ya Urais baada ya 2025. na sehemu ambayo anaweza tengeneza mazingira wezeshi (pesa na Credibility ni hapo Nishati ambako anaonekana na kusikika kila uchwao!!Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa.
Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja chini ya dogo janja.
Kwa miezi 3 sasa mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani mjengoni bila kumkasirisha dogo janja lkn bado hajapata. Aliwahi kwenda kwa mstaafu kuomba ushauri akaambiwa muache kabisa huyo 'last born'.
Akaenda kwa Mumogadishu kuomba ushauri, akaambiwa huyo ukimgusa tu anakimbilia Twitter kupost zile Picha zake za mtu anaota Moto kwa ngazi. Wakuu kwa vile mama anapita hapa kila siku ebu tumpe ushauri wa kusolve hii inshu.
Kalemani ndiyo yule ID yake inaitwa Suzy EliasMama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa.
Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja chini ya dogo janja.
Kwa miezi 3 sasa mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani mjengoni bila kumkasirisha dogo janja lkn bado hajapata. Aliwahi kwenda kwa mstaafu kuomba ushauri akaambiwa muache kabisa huyo 'last born'.
Akaenda kwa Mumogadishu kuomba ushauri, akaambiwa huyo ukimgusa tu anakimbilia Twitter kupost zile Picha zake za mtu anaota Moto kwa ngazi. Wakuu kwa vile mama anapita hapa kila siku ebu tumpe ushauri wa kusolve hii inshu.
Hawa ni mbuzi lakini kuwaacha wararuane wenyewe kwa wenyewe haina tija sisi ndio waathirika.......tusichoke kukemea japo SAUTI zetu hazizingatiwi lakini inasaidia kuwapa woga kuwa kuna watu wanaolia....... wanaweza kupunguza Kasi ya ulajiRamli chonganishi........Ila hawa mbuzi wache walaluane wenyewe Kwa wenyewe
VDKwanza ampeleke kwenye wizara ambayo ipo kimya kidogo yaani haivumi sana wala haina impact Moja kwa moja kwa wananchi!