Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

Ila kweli aisee
 

yuko pale mpaka lini tena?
 
Atatoka tu hatokaa milele afanyiwe roho mbaya ye nani bwana wakati wake wa kutoka ukifika atatoka tu
 
Anamtupa huko kumnyamazisha kipara!!

NGOJA tuone!
Dogo janja kazi imemshinda bwawa la Nyerere hakuna kinachoendelea ni siasa na ngonjera tu zinapigwa kuwahadaa wananchi sasa kelele za umeme zimekuwa nyingi kaona dogo anachafuka kila uchwao kaamua kwenda kumficha mambo ya nje
 
Huko
Kwanza ampeleke kwenye wizara ambayo ipo kimya kidogo yaani haivumi sana wala haina impact Moja kwa moja kwa wananchi!

Kama mazingira, Muungano, sanaa na utamaduni!! yaani amfiche kama alivomficha mchengerwa!

Halafu Kalemani arudi kwake!
Huko mazingira kuna pesa ya bure kupitia NEMC na viwanda pamoja na migodi, huko ndiko alikokuwa dogo janja akiwa msaidizi wa mama miaka ya nyuma na huko ndiko alianza kuujua utamu wa asali, dogo jajnja ni ligi ingine kabisa si ajabu mwendazake alimfurusha mapema, na alivyo mjanja baada ya kufurumushwa akatoa picha kapiga yeye na mzee wa watu mzee Ruksa, nadhani sote tunamkumbuka mzee Ruksa alivyomtolea uvivu dogo janja na kumwambia aitoe hiyo picha mitandaoni haraka.
 
Dogo janja kazi imemshinda bwawa la Nyerere hakuna kinachoendelea ni siasa na ngonjera tu zinapigwa kuwahadaa wananchi sasa kelele za umeme zimekuwa nyingi kaona dogo anachafuka kila uchwao kaamua kwenda kumficha mambo ya nje
Sasa ni wakati Doto amtose mabeans, hakuna anachokifanya hapo Tanesco, Tanescoilirudi kwa wahandisi mitambo/umeme wenyewe, timu mabeans iondoke na dogo janja wote wanede huko alikoenda ,huko hata wakilewa kazini hatuna shida nao. Mama kachelewa sana kwa Dogo janja.
 
Naunga mkono hoja pale TANESCO waliweka wezi watupu Taifa lilikuwa linaelekea kubaya sana wewe imagine mikoa karibu yote inakuwa gizani kwa siku 2 halafu wamekaa porojo tu

Beans out😏
 
Wewe siyo mtu ya Kanda ya ziwa
 
Angempa ubalozi basi wa tanzania kule Haiti
 
Ngoma bila kulewa tutaichezaje? pekechu pekechu pekechu, mpaka chini, mpaka chini, mpaka chiiniiii.

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
 
Miaka ya kwenye keyboard inaenda fasta sana. Leo tuko 2030 tayari
 
Hivi Rais una Police Force,TISS,Jeshi la Wananchi,Magereza, halafu unamuogopa mtu kama Makamba!Kama unaona ana leta sintofahamu si unamkamata na kumwajibisha kwa yale anayofanya.Makamba ni mvuragaji wa mambo na opportunist, hafai,sio tu kwenye uongozi,lakini pia kwenye jamii ya Watanzania,aondolewe.
 
Unajua,Kalemani kuondolewa ilikuwa chuki tu against Magufuli,lakini Samia is paying for her evil. Kalemani, was so good,amuombe radhi,amrudishe apige kazi.Frankly binafsi sikuona ubaya wa Kalemani,he was so good,labda uzuri wake ndio uliokuwa ubaya wake,maana siku hizi wazuri hawatakiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…