Mzee wa Chai
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 684
- 1,202
Ila kweli aiseeWabongo bwana! January yupo pale hadi 2030. Tunajua mna wivu lakini vumilieni tu. Mnazidi kuiponda Serikali, pamoja na January, wenzenu wanazindua miradi tu, Wanakopeshwa na kukopesheka, na wanaongoza bila wasiwasi. Watu wanakula kuku, huku nyinyi mnapiga ramli za kuwanga atatoka lini. Poleni Wabongo roho mbaya.