physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Kila mtu anapata mgao wake,mama anapata 1/8.Yaani mali inagaiwa mafungu 8,fungu moja anapewa mama,iliyobakiya wanagaiwa watoto na wazazi wa marehemu kama wako hai,kila mmoja anakuwa na sehemu yake Hili somo la mirathi,ni somo kamili.Na kabla ya kugawana,kwanza kunalipwa madeni,anayodaiwa marehemu,kama alijenga kwa mkopo wa benki,mpaka anafariki mkopo haujalipwa.Au kuna wanaomdai,wakiwa na vithibitisho vya maandishi.Dini yenu ndo inasema mali alizotafuta baba na mama.. baba akifariki mali wanapewa watoto??? Bhasi hiyo dini ni takatakaaa.
Watamuua ama kumtia ukichaaSawa umetushinda huko ila sisi tutaenda mahakama ya mnyonge na kuku mweupe (kwa sauti ya firstborn)
Wajukuu wote sidhani kama walikuwa wanakubaliana na maamuzi ya wazazi wao kutaka, kumsumbua Bibi Yao. Hii habari ya "Samaki mmoja akioza wote wameoza" ni habari ya madalali kutaka kumuumiza mwenye mzigo kwenye bei.Wajukuu ni watoto wa wanawe ambao anagombana nao mahakamani
Mkuu kwa kweli siungi Mkono hoja yako kwa sababu hoja yako imejikita kwenye lugha ya madalali kutaka kuwaumiza wenye bidhaa, ni Ile lugha ya "Samaki mmoja akioza wote wameoza"Kizazi chake kishakuwa batili Bora ampe Mungu kama wototo wote wameunga kumuumiza mama Yao hapo hamna kizazi tena
Hapana kwasababu wajukuu ni watoto wa watesi wake uhuenda walikuwa wanaunga mkono unyama wa babazaoMkuu kwa kweli siungi Mkono hoja yako kwa sababu hoja yako imejikita kwenye lugha ya madalali kutaka kuwaumiza wenye bidhaa, ni Ile lugha ya "Samaki mmoja akioza wote wameoza"
Zanzibar wao wanatumia sheria za kiarabu.Hyo sheria yako au yenu baki nayo kwanza.. sheria za nchi ndo zimempa mams haki.. mali ya mume ni ya mke pia. Hapa hatupo kwenye nchi inayotumia sheria za dini ndgu.
Sasa kama ana umri kamawa Biden si itakua shida kwake.Huyo mama auze hiyo nyumba akajilie pesa yake. Watoto wajinga hao
Assume wazazi wa marehemu (baba) nao walishafariki kabla yake, marehemu kaacha mjane mmoja na mtoto mmoja, na nyumba haikuwa na deni lolote; hapo ratio ya mgao bado inabaki 1/8 kwa mama? Kwamba mtoto ana haki kuliko mama? Kama mama alishiriki kuitafuta mali, nyumba say, ratio inakuwaje? Kama mama ndiye katangulia kwanza na kaacha watoto wasiokuwa wa baba, ratio ya baba inakuwaje? Haya mambo ni very complex.Kila mtu anapata mgao wake,mama anapata 1/8.Yaani mali inagaiwa mafungu 8,fungu moja anapewa mama,iliyobakiya wanagaiwa watoto na wazazi wa marehemu kama wako hai,kila mmoja anakuwa na sehemu yake Hili somo la mirathi,ni somo kamili.Na kabla ya kugawana,kwanza kunalipwa madeni,anayodaiwa marehemu,kama alijenga kwa mkopo wa benki,mpaka anafariki mkopo haujalipwa.Au kuna wanaomdai,wakiwa na vithibitisho vya maandishi.
Suppose ingekuwa kinyume chake; katangulia mama, baba anataka kuoa mke mwingine na aishi naye hapo? Mtoto hana uhalali wowote wa kuingilia mahusiano ya mzazi wake kwani naye ni matokeo ya mahusiano hayo hayo!Vipi kama miaka 25 nyuma ,mama alitaka kuolewa na mwanaume mwingine na kutaka kuishi nae hapo nyumbani baada ya Baba wa watoto kufariki...?
Vipi kama mgogoro wao ulianzia hapo?
Unaweza ukawa sahihi namna fulani na wrong namna fulani.Mrungi unazingua sana jogoo kwenye show
SHow na busta madhara ni makubwa sana bdae zingatia hiloUnaweza ukawa sahihi namna fulani na wrong namna fulani.
Sasa mtu unachanja pisi nzima unategemea utapiga show?
Kama una show piga nusu ruba, pata andas la kiasi afu nenda kwenye show utanishukuru kesho, hiyo show yake sio ya kitoto
Nashauri wajukuu tuwape faida ya mashaka " benefits of doubt" kwa maana Twaweza kupata ' samaki ambao hawajaoza'.....uhuenda walikuwa wanaunga mkono unyama wa babazao
Pure Insanity!Unaleta ujuaji na huruma za hivyo...huyo mama haki yake katika mirathi ni kupewa thumni ya mali zote za urithi(yaani kama sijakosea anatakiwa apewe theluthi ya mali yote) na sio kupewa mali yote yeye kama mke au mama wa hao watoto....daraja la mama ni kubwa lakini aliweka hilo daraja ndio huyo huyo aliyempa haki ya kupata thumni katika urithi,kama alitaka haki yake basi wangekusanya mali zote kama zinauzwa halafu yeye apewe theluthi tu ndio haki yake......usilete huruma za kibidamu Mwenyezi Mungu kisha fafanua kila kitu....tamaa za hiyo familia wameshindwa kugawana mirathi kwa sheria za Mwenyezi Mungu wamekimbilia mahakamani hatimae limegeuka hata huyo mama kapewa tu lakini ataadhibiwa kwa kudhulumu haki za watu.
Kwani mahusiano ya kingono ya mama yao yanawahusu nini?Vipi kama miaka 25 nyuma ,mama alitaka kuolewa na mwanaume mwingine na kutaka kuishi nae hapo nyumbani baada ya Baba wa watoto kufariki...?
Vipi kama mgogoro wao ulianzia hapo?
Hata kama ni habari ya upande mmoja...!!Habari ya upande mmoja tu si nzuri.
Hebu tupate maoni ya hao watoto pia
Kwa mfano...Kwani mahusiano ya kingono ya mama yao yanawahusu nini?
Halafu baba angefanya hivyo baada ya mama yao kufariki wangethubutu?
Haijalishi. Personal relations za mama Yao haziwahusu sawa na ambavyo baba Yao angeleta mama mdogo humo ndani endapo mama angetangulia.Angalia umri wa huyo mama ,rudisha 25 nyuma ....alikuaje pengine kiasi Cha kuanzisha mfano mahusiano ya kingono na mtu kwenye nyumba alioacha Baba yenu ambayo ni kama nyumba aliewaachia Baba yenu .........unaona inakaa poa au sio ?
Huyo baba bila huyo mama hao watoto wangetoka hewani?!Watu hurithi vya Baba yao SI kwa mama yao ......Ndo maana wala kusingekua na hio purukushani .......