Sawa.Haijalishi. Personal relations za mama Yao haziwahusu sawa na ambavyo baba Yao angeleta mama mdogo humo ndani endapo mama angetangulia.
Huyo baba bila huyo mama hao watoto wangetoka hewani?!
Jamii (hasa ya kiume) Bado imegoma kutambua thamani, umuhimu na mchango wa mwanamke/mama katika jamii kwa ujumla wake. Maumivu yatandelea mpaka ieleweke.
Kesi Miaka 18 ?..Fatma Awadh mkazi wa Kariakoo amemshukuru Rais Samia na aliyekuwa waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Silaa (sasa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari) baada ya kushinda kesi ya Mirathi ya Nyumba dhidi ya watoto wake.
Kesi hiyo iliyoanza 2006 imepata majibu baada ya kudumu mahakamani kwa miaka 18 ambapo Mama amewashinda watoto wake kwenye Mirathi ya nyumba iliyopo Kariakoo Dar es salaam.
View attachment 3170874
Kuna mashauri mengine hua yanamalizikia BAKWATA, kwenye sharia mwanamke hana chake.Serikali Haina dini mzee
Una hakika ni mama yao mzazi!Uswahilini kuna mambo mengi ambayo mengine kama hayajaripotiwa kama hivi hauwezi kuyajua. Imagine mtu mwenye akili timamu unasimama mahamakani kutaka umdhulumu mama yako mzazi nyumba ambayo pengine unaweza kuhonga au kutumia hila kushinda kesi alaf baada ya siku mbili nyumba hiyo inaanguka na kuuwa watu kama ile iliyoua na kujeruhi watu juzikati hapo kariakoo.
Kuna siku itaijutia kauli kama hii!Hyo sheria yako au yenu baki nayo kwanza.. sheria za nchi ndo zimempa mams haki.. mali ya mume ni ya mke pia. Hapa hatupo kwenye nchi inayotumia sheria za dini ndgu.
Mpaka na yeye aridhie kama hataki anaenda mahakamani haiwezekani ajitutumue ujana wake wote from no where anaambiwa Hana chakeKuna mashauri mengine hua yanamalizikia BAKWATA, kwenye sharia mwanamke hana chake.
Hatari sana.Fatma Awadh mkazi wa Kariakoo amemshukuru Rais Samia na aliyekuwa waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Silaa (sasa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari) baada ya kushinda kesi ya Mirathi ya Nyumba dhidi ya watoto wake.
Kesi hiyo iliyoanza 2006 imepata majibu baada ya kudumu mahakamani kwa miaka 18 ambapo Mama amewashinda watoto wake kwenye Mirathi ya nyumba iliyopo Kariakoo Dar es salaam.
View attachment 3170874
mpaka wazazi wa marehemu??? hivi unajitambua wee kijanaa..Kila mtu anapata mgao wake,mama anapata 1/8.Yaani mali inagaiwa mafungu 8,fungu moja anapewa mama,iliyobakiya wanagaiwa watoto na wazazi wa marehemu kama wako hai,kila mmoja anakuwa na sehemu yake Hili somo la mirathi,ni somo kamili.Na kabla ya kugawana,kwanza kunalipwa madeni,anayodaiwa marehemu,kama alijenga kwa mkopo wa benki,mpaka anafariki mkopo haujalipwa.Au kuna wanaomdai,wakiwa na vithibitisho vya maandishi.
Una hakika?Huyo mama auze hiyo nyumba akajilie pesa yake. Watoto wajinga hao
Watoto wanagombania Mali na mama mzazi ! Au mama wa kufikia au mama wa kambo
Vyovyote vile Ila haileti maana ni aina fulani ya familia za kijinga .kuanzia Mama MTU na watoto .
Siwez juta ndugu... mali ya baba ni ya mama. Watoto wasubiri mama aondoke wapte urithi.Kuna siku itaijutia kauli kama hii
Niambie weweUna hakika?
Ukute mama anatakakumrithisha mtoto wake aliyezaa nje ya ndoa ndio maana kuna ugomvi wa hivyo.Washashindwa mahakamani, maoni yao ya Nini? Mali ya mume inashuka kwa mke, watoto pumbavu kabisa shenzy
Kama baba aliacha amegawa mali zake na anajua mke wake ana watoto wengine nje ya ndoa.W
Siwez juta ndugu... mali ya baba ni ya mama. Watoto wasubiri mama aondoke wapte urithi.
Ukiona hivyo jua mama ana watoto wengine nje ya hao na baba yao aliaacha amewarithisha.Acha ujinga wewe, hao ni watoto wake wa kuzaa, wamekaa tumboni kwake miezi 9, hivyo kama kudhulumu angewadhulumu wakati akiwa hajawazaa kwa kutoa mimba zao.
Hivi unaijua thamani ya mzazi uliekaa tumboni kwake miezi 9? Je akiwarudishia hiyo mirathi akawaomba na wao wamlipe kwa kukaa tumboni kwao miezi 9 halafu ndo wamzae kama alivyowazaa wao wataweza?
Bila yeye kuwazaa au kuwalea mpaka wakakuwa wakubwa hiyo mali wangeweza kuirithi? Yani mali au nyumba ndio isababishe ukasimame na mama yako mzazi mahakamani? Nyumba inaweza kuungua au ikaanguka kama lilivyoanguka lile jengo la juzi hapo kariakoo lkn mzazi atabaki kuwa mzazi miaka yote ya maisha yenu iwe kwa raha au kwa shida.
Ndio hasara ya kufuga matoto badala ya kulea wapate akili za kutafuta za kwao.Fatma Awadh mkazi wa Kariakoo amemshukuru Rais Samia na aliyekuwa waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Silaa (sasa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari) baada ya kushinda kesi ya Mirathi ya Nyumba dhidi ya watoto wake.
Kesi hiyo iliyoanza 2006 imepata majibu baada ya kudumu mahakamani kwa miaka 18 ambapo Mama amewashinda watoto wake kwenye Mirathi ya nyumba iliyopo Kariakoo Dar es salaam.
View attachment 3170874
Labda waliona anataka Kupeleka Mali Kwa bamdogo 😁😁Hao watoto:
UNAGOBEAJE MIRATHI NA MAMA YAKO?