Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

😂😂😂😂😂😂tumuulize boss wako hadi mishipa ya shingo ilikua inamtoka kulalamika wolper anamkana
 
Duuuù, ndiyo mana kidg tu kwenye nyimbo utasia RICARDO MOMOOO, 🤣🤣🤣🤣 Unajivuna et ww n mtot wa Julius, mwulize vzr mama yako unaweza kuta ww n mtot wa Miraji🤣🤣🤣🤣

Ndio maana wanasema una uhakika 100% wa mama yako lakini sio baba yako!
 
Mm nawakumbusha tu mabaharia wenzangu hawa masingle mother hawa tuwe nao makini jaman Leo mzee Abdul anadhalilishwa kwasababu hakuchanga vizur karata zake ujanan
 
Uswahili mwingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 

Umbea hauna posho. Twanga Pepeta waliimba zamani. Ila Sasa posho ipo kwenye umbea
 
Hii ishu imekuwa created now coz huyo mzee ni mgonjwa balaa, so wametapika sasa hivi ili siku ikitokea ametangulia wasiende msibani.. ( this is the main reason
 
Umemsahau MANGE
 
Haya mambo yanatokana na falsafa za familia. Mfano Mimi nimewaandikisha wajomba zangu shule January hii kwa majina ya ukoo wetu kwa sababu tu baba zao wamewatelekeza watoto wao. Hata mama zao malezi yao ni kidogo Sana, asilimia kubwa wanalelewa na bibi ambaye ni mama yangu.
Kwa hiyo huko mbeleni mojawapo akiwa maarufu, atajulikana kuwa Yuko ukoo wetu, Baba yake akija kusema huyu ni mwanangu basi itafahamika hivyo lakini si kwa jina analotaka.

Ukiangalia Ricardo Momo na diamond wanafanana kuanzia sura Hadi sauti. Yule mzee Abdul anatakiwa apewe heshima ya ubaba mlezi na si baba mzazi. Katika miaka ya Sasa malezi Yana nguvu kuliko kuzaa. Ricardo amesema amemlea Diamond Kama mdogo wake tangia diamond akiwa na miaka 10.Mzee Abdul hapewi heshima kwa sababu hakumlea diamond ipasavyo Kama ule masomo wa "ukipenda boga penda na ua lake".

Suala la Sasa ni kuangalia hii familia ya Iddi Nyange ilikuwaje na ikoje Sasa ndugu zao ni kina Nani Ili tujue ukweli.
 
Basi atakuwa ukoo na yule dada kaimba komela sijui diana nyage naisi ni mtu na kaka yake domo
 
Hii ishu imekuwa created now coz huyo mzee ni mgonjwa balaa, so wametapika sasa hivi ili siku ikitokea ametangulia wasiende msibani.. ( this is the main reason
Nadhani ungeandika Kama unatoa maoni lakini hapa umeandika Kana kwamba ulichoandika Ni kweli na ndivyo kitakavyokuwa, all in all mzee Yuko fit na dai Hana Tatizo na mzee wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…