Jk12
JF-Expert Member
- Feb 24, 2019
- 702
- 1,134
UTAJIRI KUULINDA NI KAZI,ITABID UFANYE MAAGIZOIla diamond nyie sio fair anavyomfanyia Huyo mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UTAJIRI KUULINDA NI KAZI,ITABID UFANYE MAAGIZOIla diamond nyie sio fair anavyomfanyia Huyo mzee
Kwa hiyo ukitembea na Wolper na Wema nyota ing'aa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo Wema na Wolper ni waganga wakusafisha nyota?
Kwa kipindi Wema anazindua filam,Hamorapa alivyoenda na ile mipendeji ilikuwa sio Kiki.
Duuuù, ndiyo mana kidg tu kwenye nyimbo utasia RICARDO MOMOOO, 🤣🤣🤣🤣 Unajivuna et ww n mtot wa Julius, mwulize vzr mama yako unaweza kuta ww n mtot wa Miraji🤣🤣🤣🤣
Jina tuu mbona hilo kulibadili ni dakika mbilli tuu.
Haya yale ya Muna Love unayakumbuka?
Jiandaeni kwa wimbo mpya
Uswahili mwingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwao kila kitu ni kiki hawajui kutofautisha uhalisia na maigizo mfano harusi ya esma anzia gari mpaka kumnanga petit
Domo angekua mbali ila familia yake inamdondosha sana. Cheki wanavyoitumia wasafi media vibaya.
Wao wanadhan wanamsaidia kumbe wanamdidimiza. Au wanataka kuwa kardashians wa bongo?
Ah wabongo ndiyo wanapenda sahv kwenye vijiwe,saloon za kike wanajadiliwa waomama anampoteza kijana wake mambo kama haya bora kukaa kimya siku akijua ukweli mond huenda ikawa vita ya tatu ya dunia mama atakuja kujilaumu sana
Huyu ni babaake wallahHaya mambo ya familia sometimes hutakiwi kuyaingilia,picha nyingine hiyo.
View attachment 1678128
Mi nachompenda diamond ni very smart.. watu wangejua mambo yote yanapangwa haya kuteka instagram na kuingiza pesa youtube..
Harusi ya esma na msizwa ni planned, haya maneno ya rikado momo nina uhakika ni planned... yaani wanapiga hela kiurahisi sana zama hizi za social network
Umbea unakutajirisha fasta ukijua kuutumia. Diamond na familia yake wanalijua hilo..ndio wanawapa umbea sasa kama huo wa kuzua tu
Umbea umempa shigongo utajiri
Umbea umewapa watu wengi ajira wanaendesha magari mazuri na wanajenga kina juma lokole, carry mastory, kumbuka, shilawadu etc
Umemsahau MANGEMi nachompenda diamond ni very smart.. watu wangejua mambo yote yanapangwa haya kuteka instagram na kuingiza pesa youtube..
Harusi ya esma na msizwa ni planned, haya maneno ya rikado momo nina uhakika ni planned... yaani wanapiga hela kiurahisi sana zama hizi za social network
Umbea unakutajirisha fasta ukijua kuutumia. Diamond na familia yake wanalijua hilo..ndio wanawapa umbea sasa kama huo wa kuzua tu
Umbea umempa shigongo utajiri
Umbea umewapa watu wengi ajira wanaendesha magari mazuri na wanajenga kina juma lokole, carry mastory, kumbuka, shilawadu etc
Mm nawakumbusha tu mabaharia wenzangu hawa masingle mother hawa tuwe nao makini jaman Leo mzee Abdul anadhalilishwa kwasababu hakuchanga vizur karata zake ujanan
Nadhani ungeandika Kama unatoa maoni lakini hapa umeandika Kana kwamba ulichoandika Ni kweli na ndivyo kitakavyokuwa, all in all mzee Yuko fit na dai Hana Tatizo na mzee wake.Hii ishu imekuwa created now coz huyo mzee ni mgonjwa balaa, so wametapika sasa hivi ili siku ikitokea ametangulia wasiende msibani.. ( this is the main reason