Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Nyange uchagani ipo. Bila shaka ni marangu au mwika. Marangu kuna soko la kwa Nyange linaitwa Kinyange! Dayamondi disemba inabidi aungane na wakwao wakahesabiwe mjini mtuache
 
hawa wapogoro mkuu, kama kina babu tale.

Mondi angekua mchaga angekuwa anashinda bar, angekua mpare angekua analia ugali kwa picha ya samaki

Hakuna ushahidi wa kihistoria mkuu unaoonyesha kuwa Ukoo wa Nyange upo upogoroni au kabila lingine isipokuwa kwa Wachagga na kidogo kwa wapare, tena wapare ni kutokana na kuwa kuna Nyange mmoja alikimbizwa uchagani akatokea maeneo ya Mamba huko upareni.
Hiyo ni historia unaweza ingia hata mtandaoni kutafuta.

Majina ya kipare yanayoanzia na Herufi N, ukoo wa Nyange nimeukoleza kwa wino mzito

Nachai, Ndago, Ngasu, Ngomoi (Same), Ngomuo (Ugweno), Nguve, Ngwijo, Niarira, Nisaghurwe, Nkima, Ntarishwa, Ntekaniwa, Nyange (Jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini linatumika hata kwa wapare. Kwa Wachagga ni ukoo ambapo kwa Wapare ni jina tu la kawaida), Nzao, Nziajose, Nziamwe,
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli kabisaaa. Wanajua kuzira wale wazee balaaa. Sitashangaa kweli kama dai mchagga maana ana spirit ya kuoambana sana. Ila hizi tabia za mama yake pooh mbaka. Mungu aniepushe sana

Why Mkuu lakn mko na hii spirit..?

Nakumbuka nikiwa shule moja huko uchagani, Muuza duka mmoja aliyefahamika kwa jina la Ulomi, alikuja shuleni na panga kabisa kumsaka mwanafunzi mwenzetu aliyemkopesha kitu cha 200, eti ajarudisha kwa wakati.! Seriously deni la 200 unadai na panga!
 
Sasa mzimu wa Nyange wamtesa Mzee Abdul
Aah wapi. Hauwezi mdhuru. Najiuliza mama yake dai alikua..

1. Anafanya sex kwa wakati mmoja kwa mzee abdul at the same time na mzee Nyange kiasi cha kutomtambua baba ni yupi kati yao.

2. Mzee nyange alikataa mimba ndo akambambikizia mzee Abdul?

3. Endapo mzee Abdul alijua na akakubali kuwa responsible as baba na kumfichia aibu kwanini leo hii afanye hivi?

Bibi Sandra ni mchawi karaaba.

Nachoamini... Mzee Abdul hajafunguka bado. Akifunguka tutatafutana. Wanaume wana madhaifu yao ila wanatusitiri sana aisee na mambo yetu. Heshima sana kwa huyu mzee. Kwangu mimi angeendelea kuwa baba na ningemuheshimu na huduma zote angepata. Diamond ni mtu mzima sasa aache ujinga asimame kama mwanaume na afanye kinachostahili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unataka kucheka na kima kwenye hela? It is get rich or die trying. Na tola enzi watu wanamiliki mabunduki huko kiia dk 0 tu
 

Mama Diamond ameona mzee anapiga kelele nyingi so ameamua kumpiga one to goo ili kumfunga mdomo. Sitegemei kama Mzee Abdul atarudisha shambulizi lolote kwani aliyopikwa ni TKO
 
Ingia kwenye link hii utaelewa usiyoyajuwa.

Issue ni kuzima skendo la Esma la madawa ya kulevya na ujambazi, hiyu mzee Abdul ni victim wanamtumia kama cover tu.

Hawa matapeli kumbe wanatumia nguvu kubwa ili kuficha skendo la Esma watu wasahau.

 
Mama Diamond ameona mzee anapiga kelele nyingi so ameamua kumpiga one to goo ili kumfunga mdomo. Sitegemei kama Mzee Abdul atarudisha shambulizi lolote kwani aliyopikwa ni TKO
Sawa hatukubali... kampiga TKO. Lakini amejichafua mno. Yeye anaona ni sifa lkn outcome yake ni just soon enough tutaiona. Heshima ni kitu cha bure sana.
 
Yes. Exactly.
 
Hawa matapeli kumbe wanatumia nguvu kubwa ili kuficha skendo la Esma watu wasahau.

 
Hawa matapeli kumbe wanatumia nguvu kubwa ili kuficha skendo la Esma watu wasahau.

 
Hata mimi namuonea huruma sana mwisho ataanza ku doubt Hata hao watoto wengine km ni wa kwake, very sad,,,, mimi kinachonishangaza KWA NINI WAMELIIBUA SASA HIVI NA WAKATI LILIKUA LINAJULIKANA KITAMBO??!? Kilichowafanya lililokua Siri walitoe?
Hawa matapeli kumbe wanatumia nguvu kubwa ili kuficha skendo la Esma watu wasahau.

 
Sawa hatukubali... kampiga TKO. Lakini amejichafua mno. Yeye anaona ni sifa lkn outcome yake ni just soon enough tutaiona. Heshima ni kitu cha bure sana.

Mama Diamond hataki heshima anachotaka ni pesa, huoni anamuita Mzee abdul baba mlezi alafu wakati huo huo anasema Mzee Abdul hakumlea Diamond na aliikataa mimba yake. Huoni kama anajichanganya hapo.

Baba ili awe mlezi si ni lazima atoe huduma, sasa Mzee Abdul anakuwaje Baba mlezi alafu muda huo huo haihudumii familia yake akiwepo Diamond?

Hapo ndio unajua huyo Mama ni kichwaa boksi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…