jinola hamza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 657
- 441
Haijulikan domo kapatikana kwa kupasuka kwa kondom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee nasibu achangamkie fursa. Akitaka kuhojiwa aweke bei elekezi ya laki mbili kwa dakika moja. Ili apate hela. Na pesa yote lazima alipwe kwenye account kabla ya kuhojiwa.
hawa wapogoro mkuu, kama kina babu tale.
Mondi angekua mchaga angekuwa anashinda bar, angekua mpare angekua analia ugali kwa picha ya samaki
Nyange uchagani ipo. Bila shaka ni marangu au mwika. Marangu kuna soko la kwa Nyange linaitwa Kinyange! Dayamondi disemba inabidi aungane na wakwao wakahesabiwe mjini mtuache
Hapo aliekomeshwa n Hamisa,kajibebesha mimba kbabe afu na Mtoto kampa jina la babu kibabe,Kumbe kampa jina la babu wa kambo
Apo ndo utajua kinacho gombaniwa haswa ni uchechefu.Wakina Queen darlin wao awagombaniwi kwann?
Haijulikan domo kapatikana kwa kupasuka kwa kondom
[emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli kabisaaa. Wanajua kuzira wale wazee balaaa. Sitashangaa kweli kama dai mchagga maana ana spirit ya kuoambana sana. Ila hizi tabia za mama yake pooh mbaka. Mungu aniepushe sana
Hata kwa Wamasai wapo pia, nyie vipi !!!!???Nyange wapo Moshi,morogoro,Tanga,Musoma na Pwani kama sikosei.
Aah wapi. Hauwezi mdhuru. Najiuliza mama yake dai alikua..Sasa mzimu wa Nyange wamtesa Mzee Abdul
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unataka kucheka na kima kwenye hela? It is get rich or die trying. Na tola enzi watu wanamiliki mabunduki huko kiia dk 0 tuWhy Mkuu lakn mko na hii spirit..?
Nakumbuka nikiwa shule moja huko uchagani, Muuza duka mmoja aliyefahamika kwa jina la Ulomi, alikuja shuleni na panga kabisa kumsaka mwanafunzi mwenzetu aliyemkopesha kitu cha 200, eti ajarudisha kwa wakati.! Seriously deni la 200 unadai na panga!
Aah wapi. Hauwezi mdhuru. Najiuliza mama yake dai alikua..
1. Anafanya sex kwa wakati mmoja kwa mzee abdul at the same time na mzee Nyange kiasi cha kutomtambua baba ni yupi kati yao.
2. Mzee nyange alikataa mimba ndo akambambikizia mzee Abdul?
3. Endapo mzee Abdul alijua na akakubali kuwa responsible as baba na kumfichia aibu kwanini leo hii afanye hivi?
Bibi Sandra ni mchawi karaaba.
Nachoamini... Mzee Abdul hajafunguka bado. Akifunguka tutatafutana. Wanaume wana madhaifu yao ila wanatusitiri sana aisee na mambo yetu. Heshima sana kwa huyu mzee. Kwangu mimi angeendelea kuwa baba na ningemuheshimu na huduma zote angepata. Diamond ni mtu mzima sasa aache ujinga asimame kama mwanaume na afanye kinachostahili.
Ingia kwenye link hii utaelewa usiyoyajuwa.Ukimsikiliza baba Diamond alipohojiwa na Zamaradi unaweza ukapata picha jinsi mama Diamond alivyokuwa ana gawa tunda hadi baba Diamond akanona hili si tunda tena bali ni frame ya kupangisha aisee..... halafu nimegundua kuwa hata Esma siyo mtoto wa mama Diamond kabisa..... lakini ni wazi kabisa mzee Abdul ana katariwa tuu kwakuwa hana hela na huyo mama anapenda sana kulalwa kiufupi..........
Huyu baba wangemsitiri lakini kwa haya wanaoyomfanyia hayatakaa yawaache........
Huyu mama aiseeee ni kiboko yani inaonekana alikuwa anafanya biashara ya kuuza mwili kabisa kama ukimsikiliza kwa makini baba Diamond.........aiseee
Sawa hatukubali... kampiga TKO. Lakini amejichafua mno. Yeye anaona ni sifa lkn outcome yake ni just soon enough tutaiona. Heshima ni kitu cha bure sana.Mama Diamond ameona mzee anapiga kelele nyingi so ameamua kumpiga one to goo ili kumfunga mdomo. Sitegemei kama Mzee Abdul atarudisha shambulizi lolote kwani aliyopikwa ni TKO
Yes. Exactly.Ndoa inaumuhimu wake hasa linapokuja suala la umiliki wa mali wakiwemo watoto.
Mwanamke akiamua kukuchapa kama hakuna ndoa anakuchapa hasa kwenye inshu ya mtoto kama hakuna ndoa rasmi. Kisa cha Muna Love na Baba Patick, ponea ponea ya Baba Patrick ilikuwa ni ndoa, hivyo kisheria Patrick alikuwa mwanaye, hata kama kibaolojia sio.
Na mwanamke kwenye suala la mali huchapika zaidi kama hakuna ndoa, ni rahisi kudhulumiwa na mumewe na kesi huwa ngumu zaidi.
Ila kama kuna ndoa kesi huwa bwerere hata wanaume tunajua hilo
Hawa matapeli kumbe wanatumia nguvu kubwa ili kuficha skendo la Esma watu wasahau.Uko right hawajulikani, ila ndio wewe huyo mwenye ID nyingine???????????????, mimi Naona kuna viwango, huwezi kumfananisha Diamond na familia yake,, this is entertainment industry, media inawajenga,kwa status aliyopo Mond kwenye career yake hawezi kuikwepa media labda astaafu music ndio atapumzika, huyo bakhresa na Mo je wanategemea media kufanya wale mkate wao wa kila siku??? The answer is NO, kwangu mimi Naona unafananisha tui la nazi na maziwa
Hawa matapeli kumbe wanatumia nguvu kubwa ili kuficha skendo la Esma watu wasahau.Kuna wanawake ni hovyo hovyo kabisa. Well, wapo wanaume ni hovyo pia lakini ninachoona hapa ni "Keeping up with the Diamonds"! Trending throughout on social platforms n' earning more cheddar!
Ningekuwa katika nafasi ya Naseeb nisingekubali huu upuuzi(japo kwake ku trend mitandaoni ndio priority)
Hawa matapeli kumbe wanatumia nguvu kubwa ili kuficha skendo la Esma watu wasahau.Hata mimi namuonea huruma sana mwisho ataanza ku doubt Hata hao watoto wengine km ni wa kwake, very sad,,,, mimi kinachonishangaza KWA NINI WAMELIIBUA SASA HIVI NA WAKATI LILIKUA LINAJULIKANA KITAMBO??!? Kilichowafanya lililokua Siri walitoe?
Sawa hatukubali... kampiga TKO. Lakini amejichafua mno. Yeye anaona ni sifa lkn outcome yake ni just soon enough tutaiona. Heshima ni kitu cha bure sana.