Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Halafu tujiulize kuwa undugu wa Queen Doreen na Diamond umetoka wapi? hahahaha yani hawa wote ni machizi tuu.... huyu mzee kinachomponza nikutaka asaidiwe .....lakini hii familia ni wazi ina laana kabisa hahahaha
Tatizo Watanzania tupo nyuma sana kimaendeleo,nchi za watu hata baba mlezi ni baba.So undugu wa queen na Nassibu unatokana na baba mlezi
 
Mambo kama yale yule mama ilibidi aonge na familia lkn yeye kaenda kuongea kwenye media
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu utandale bado uko kichwan mwake

Ova
We huoni pamoja na umaarufu na pesa ila ngozi imekataa kabisa kutoka Tandale
 
Huyo mama anajichanganya mwenyewee.
Huyo baba ake diamond alikataa mimba mzee nasib alikubali kulea mimba na ndio maana ubin wa diamond ni wa huyo mzee. Lakini hawakudumu kwenye mahusiano na huyo mzee wakaachana .

Diamond akabaki na jina
 
Wanawake tunapitia mengi sana dah. Kumbe ndio maana mzee Abdul hakuona shida kugoma kusomesha diamond na kumtelekeza...

Ndio maana Diamond hajawahi kuwatambulisha watoto wake kwa Mzee Abdul

Mzee Abdul uligoma hudumia mtoto kwa chochote sasa umekosa mtoto

Hii ni scandal lakini kama mama Diamond aliweza kuyabeba miaka yote bila yoyote kujua wala kuhisi basi yapo yaliyomsukuma huyu mama na familia kuyaweka wazi.

Na pamoja na yote mama Diamond ni mama bora kwa watoto wake atabaki kuwa shujaa kwao.

Kwa yote aliyopitia alisimama kama mama na kama mzazi mwenye kuwajibika kwa wanawe asilimia miamoja. Kulea watoto huku waliokataliwa hadi kuwafikisha alikowafikisha sio kitu cha kuchukuliwa kwa wepesi



Diamond, Kaka yake na Marehemu baba yao. Mzee alikua na damu Kali sana Yaani huulizi😀😀😀


Mzee Abdul nae kacharuka
 
Si kwa ubaya ila kuna baadhi ya wanaume wanapenda umbea jamani[emoji23][emoji23].

Umbeya ni tabia ya,
  • Kutoa habari bila kutumwa,
  • Udaku,
  • KIlimilimi,
  • fukufuku,
  • Uheke na
  • Uzandiki.
Kuhusisha umbeya na jinsia ni suala la unyanyasaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…