grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Punguza kuangalia muvi za kituruki hasa hizi zilizotafsiriwa sawa?Maana ya baba ni malezi
Na sio Mzazi
Hata wodini hakuna wodi ya wazazi (baba).
Bali baba ni kwa malezi yupo sahihi mondi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza kuangalia muvi za kituruki hasa hizi zilizotafsiriwa sawa?Maana ya baba ni malezi
Na sio Mzazi
Hata wodini hakuna wodi ya wazazi (baba).
Bali baba ni kwa malezi yupo sahihi mondi.
Tatizo Watanzania tupo nyuma sana kimaendeleo,nchi za watu hata baba mlezi ni baba.So undugu wa queen na Nassibu unatokana na baba mleziHalafu tujiulize kuwa undugu wa Queen Doreen na Diamond umetoka wapi? hahahaha yani hawa wote ni machizi tuu.... huyu mzee kinachomponza nikutaka asaidiwe .....lakini hii familia ni wazi ina laana kabisa hahahaha
Duh! Cheki walivyofanana
We huoni pamoja na umaarufu na pesa ila ngozi imekataa kabisa kutoka TandaleMambo kama yale yule mama ilibidi aonge na familia lkn yeye kaenda kuongea kwenye media
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu utandale bado uko kichwan mwake
Ova
Yani ndiyo ujue mwanamke ana siri kali sana hususani juu ya baba mtoto, sasa hakika Diamond asingekua na mafanikio basi huenda asingemjua baba yake
Hata huyo baba asinge jitokeza,endapo mtoto asingetoboa kwani mtoto mbaya wa mama,mzuri wa baba.Yani ndiyo ujue mwanamke ana siri kali sana hususani juu ya baba mtoto, sasa hakika Diamond asingekua na mafanikio basi huenda asingemjua baba yake
Hatuna uhakika kama mzee Nassibu hakulifahamu hili swala.Uzuri lazima ataongea,vile anapenda sana media.Yani ndiyo ujue mwanamke ana siri kali sana hususani juu ya baba mtoto, sasa hakika Diamond asingekua na mafanikio basi huenda asingemjua baba yake
Hili ni jukwaa la mambo haya....hakuna mapambano hapaSawa endelea kupambana Diamond ni mtoto wa nani........
Ndiyo uendelee sasa kubishana,maana we si unajua vizuri maisha ya mama diamondHili ni jukwaa la mambo haya....hakuna mapambano hapa
Huna heshima ya kujibiwaHela ninazo tayari, niambie tena nitafute nini
Huyo mama anajichanganya mwenyewee.Leo mama diamond almaarufu kama Mma dangote, amekiri kua Mzee Abdul anaejulikana kua ni baba mzazi wa Diamond, sio baba mzazi wa diamond na kukazia kua baba wa diamond alishakufa mda tokea akiwa na mimba ya diamond.
Akiendele na mazungumzo yake alidai kua Mzee abdul aliikataa mimba ya na kukataa kumlea diamond alipozaliwa.
NAYAONA HAYA:
*MZEE HUYU ABDUL ATAKATA TAMAA YA MAISHA KWANI TEGEMEO LAKE ILIKUA NI SIKU MOJA DIAMOND ARUDISHE MOYO NYUMA AMSAIDIE
*NAONA KABISA MZEE HUYU KUJIINGIZA KWENYE VILEVI KUPINDUKIA KWA SABABU YA STRESS
*YOYO KWA YOTE NAONA KABISA TUNAMPOTEZA HUYU MZEE, HIZI HABARI SIO NJEMA KWAKE.
TUSUBIRI TUONE
View attachment 1678070
Halafu aibu tunaona sisiSi kwa ubaya ila kuna baadhi ya wanaume wanapenda umbea jamani[emoji23][emoji23].
Si kwa ubaya ila kuna baadhi ya wanaume wanapenda umbea jamani[emoji23][emoji23].
Huyu Mzee nimemuonea huruma Sana . Ila malipo ni hapa hapa duniani
Bikra zipo wapi!?[emoji41]Ni mwanaume mwenyewe ndio unajitaka kufa mwenyewe. Bikra zipo alafu unakimbilia upuuzi. Ushamba mbaya sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maeDudu la Yuyu hata malezi hakutoa yeye ilikuwa ni mikasi tu [emoji849]