Ka-panick kivipi?! Ina maana ka-react hizi habari, au?!Mzee Abdul kapanick sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ka-panick kivipi?! Ina maana ka-react hizi habari, au?!Mzee Abdul kapanick sana.
Kwa hiyo mzee Abdul alikuwa anateleza ,so Diamond ni mluguru wa Morogoro na si mmanyema.Mzee Nyange alikataa mimba, mzee Abdul nae akakataa mimba lakini akaendelea kujivinjari na mama Diamond.
Kwa maelezo ya mama Diamond amelea mwenyewe. Kasema mzee Abdul tangu akatae mimba hakuwahi jishughulisha na matunzo ya mtoto na akasisitiza japo walikua pamoja yeye aliendelea kumlea mwanae mwenyewe hadi walipotengana
Wanaume mjue tuu wanawake ni wavumilivu lakini kuna point wakifika wanakua wabaya kuliko ubaya wenyewe!!!!! Yaani Mungu alipowaambiwa muishi na wanawake kwa akili na hii ndio maana yake🙌🙌🙌
Duh! Hili gazeti la mwaka gani?!Na amesema waache kutumia jina lake atawapeleka mahakamani
Ila yalianza zamani kumbe
View attachment 1678269
Mzee kaongea hadi mambo ya kitandani, mwisho Kasema diamond akiendelea kutumia jina lake atamshtakiKa-panick kivipi?! Ina maana ka-react hizi habari, au?!
Na amesema waache kutumia jina lake atawapeleka mahakamani
Ila yalianza zamani kumbe
View attachment 1678269
Bond ya Diamond na Queen imetengenezwa na mama yake Queen na mama Diamond sababu wote inavyo onekana mzee Abdul hakuwa na time nao,so walivyokuwa wakikutana walikuwa wanafarijiana sababu matatizo yao yanafanana.Alisepa kama ambavyo huwa wanasepa mababa wengi, na akarudi kama ambavyo huwa wanarudi mababa wengi! Itakuwa alisepa enzi anaitwa Naseeb, akaja kurudi enzi anaitwa Diamond!! Hivi huoni hata bond ya Diamond na Queen Darleen ni kama ya ku-force tu?! I don't see any affection kutoka kwa Diamond kwenda kwa QD kama ile aliyonayo kwa Esma! Sijawahi kuona wala kusikia Diamond akiwatolea watu povu kuhusu QD lakini mara kibao tu huwa anatoa kwa ajili ya Esma!
OMG! OMG! OMG! OMG! Hivi unajua kwanini nimeweka hizo OMG nyingi?! Kwanza ndo unanijuza kwamba Nyange ni Waluguru! Pili, nakumbuka kuna siku Diamond kulikuwa na event fulani hivi Morogoro akasema "hapa ni home" lakini watu hawakutilia maanani!!!Kwa hiyo mzee Abdul alikuwa anateleza ,so Diamond ni mluguru wa Morogoro na si mmanyema.
ina maana maza ake DAi alikuwa anakit**** mpaka anashindwa jua baba wa mwanae?Habar wanajf,
Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu.
Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange.
Haya yote yanaweza kuwa sawa lakini kwanini Diamond anaitwa Naseeb Abdul na siyo Salim Naseeb Nyange? Hivi inawezekana baba mlezi kupewa hadhi ya ubin wa mtoto au ndio mama Diamond anataka amalize mchezo?
Na kama ni kweli Mzee Abdul sio baba yake Diamond huenda mama Diamond alikataliwa hii mimba na mzee Salim Nyange akaamua kumtupia zigo mzee Abdul na bila shaka mzee alikubali kiroho safi ila huenda alikuwa anaambiwa mengi na ndugu pamoja na rafiki.
Apa hii story sioni kama ina utofauti na story iliyopo kwenye mziki wa Stamina na Profesa Jay maana namuona Diamond anamlaumu Mzee Abdul kwa kutokumlea ilihali Mzee Abdul alijua Diamond siyo mwanae na bado akaendelea kuwa baba kwa uwezo wake.
Ila sijaamini kama Mzee Abdul sio baba yake mzazi Diamond sababu sio rahisi mtoto alelewe na baba wa kambo mpaka abadilishe jina la ubin wake pia na kuwapa mpaka watoto zake jina la babu yao feki walitumia kama babu yao.
Hizi ni faulo zinataka kuchezeka hapa Mama Diamond anataka kumaliza mechi.
Pia wamefanana, na kwanini walikua wanamuomba pesa za matunzo?
Hamna kesi hapo,apumzike awatunze watoto wake aliowapata uzeeni na mke wake ,manake huu mwezi wa January ni mgumu sana kwa wenye watoto,atulize kichwa na achange karata zake vizuri.Mzee kaongea hadi mambo ya kitandani, mwisho Kasema diamond akiendelea kutumia jina lake atamshtaki
Ndio hivyo naona hata Sallam Sk amemtania leo.OMG! OMG! OMG! OMG! Hivi unajua kwanini nimeweka hizo OMG nyingi?! Kwanza ndo unanijuza kwamba Nyange ni Waluguru! Pili, nakumbuka kuna siku Diamond kulikuwa na event fulani hivi Morogoro akasema "hapa ni home" lakini watu hawakutilia maanani!!!
Kufupi ni waongo waliopoteza kumbukumbuSwali muhimu sana. Na kwann domo alikua anamtaja taja yeye kama baba asiyetoa matunzo kwake na sio huyo baba mwingine
Sana huyu yeye angekula buyu kama mzee wake Mwana Fa.
Mzee wake Mwana Fa kuna picha yake kapiga,yupo bar anakula nyagi alafu anaonekana hana time kabisa yani na yeye mwenyewe alivyo hojiwa wala hajutii.
Kufupi ni waongo waliopoteza kumbukumbu
Kwa hiyo mzee Abdul alikuwa anateleza ,so Diamond ni mluguru wa Morogoro na si mmanyema.
Wangeacha kumpa lawama za malezi wakati wanajua sio damu yake
Sakata la FA na baba yake ni tofauti na la domo. FA hajawahi kuleta ukaribu na mzee wake ila huyu wa wasafi keshamtumia sana mzee kwenye kiki zake wakati anafahamu sio baba yake.
Wangeweka wazi tangu mwanzo
Hii familia ina tabu kweli aisee.kutoka instagramuni, mama diamond kapost hizi,
View attachment 1678271
View attachment 1678272View attachment 1678273