Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mzee nasibu achangamkie fursa. Akitaka kuhojiwa aweke bei elekezi ya laki mbili kwa dakika moja. Ili apate hela. Na pesa yote lazima alipwe kwenye account kabla ya kuhojiwa.
Sijui hata kama ana hilo wazo naona yeye hata akiona unakula hindi la kuchoma anakufata anadhania ni mike aongee.
 
Kikum....cha Bi. Sandra kinamwashawasha sana! Kinahitaji kuwekewa pilipili hicho!
 
Mimesikitishwa sana na aina za kiki za kihuni zinazodhalilisha familia hii.
Huyu mama na mwanae wana jambo lao kutaka kumdhalilisha huyu Mzee Abdul.

Mzee amefunguka uchafu alioufanya mama Naseeb na jambo hilo ni aibu sana.

Mama anaamini dunia hii mwanae kaisha ikamata lakini pesa kitu gani bhana.Pesa inaweza kuondoka upesi na huyu huyu Diamond akarudi kuuza viatu vya mitumba kama baba yake.Mungu si wa kuchezea.Lolote lawezekana dunia hii.
Kuweni na heshima kwa kila mtu,si vizuri kutumia pesa ulizojaaliwa kudhalilisha wengine.
 
Sema ukimsikiliza huyo mchizi(Ricardo) anasound kama Diamond.
Sauti easy kuiga, Ricardo ameangaika sana kwa waganga ili akubalike na mama Dangote

mama dangote alikua hataki kuona ukaribu wa Diamond na Ricardo kwa sababu ya Mali pia , so kuna possibility ya Ricardo Kuiga sauti kwa sababu diamond ni role model wake na pale WAsafi kama Haukubaliki na mama dangote unafukuzwa

na asilimia kubwa wanamuiga diamond sauti vijana wa wasafi
 
Nimegeuza upande mwengine na shilingi,sikuchoshi nimekuuliza Mondi kama angekuwa muuza mitumba kazi yake ya zamani angemg'ang'ania.
Mkuu kuna yule tajiri wa mabasi ya Machame safari alikuwa muuza mitumba, Yan kauza mitumba hadi kununua mabasi hayo,.........
Hayo mabasi sasa Ni full luxury Dar to chuga hiyo mzee Baba,
 
Yule mama ni aina ya wanawake waswahili wasiojiheshimu , na wasioelewa thamani ya mwanaume. Si shangai walivyotosana na mumewe na wanaume wengine pia.

Diamond ni mtoto wa kiume . Afikie aanze kumdhibiti huyu mama. Ili naye yasije kumkuta haya ya Mzee Abdul

Odhis *
 
Mkuu kuna yule tajiri wa mabasi ya Machame safari alikuwa muuza mitumba, Yan kauza mitumba hadi kununua mabasi hayo,.........
Hayo mabasi sasa Ni full luxury Dar to chuga hiyo mzee Baba,
Sijakataa huyo katoboa,vipi kama anagekuwa still bado yupo na mitumba yake hajatoboa au bado anauza siso,je angemtafuta.

Au angesema "toto lina akili kama mama yangu,siwezi kuwa na toto kama hili".Manake siku zote mtoto mbaya wa mama,mzuri wa baba.
 
Yule mama ni aina ya wanawake waswahili wasiojiheshimu , na wasioelewa thamani ya mwanaume. Si shangai walivyotosana na mumewe na wanaume wengine pia.

Diamond ni mtoto wa kiume . Afikie aanze kumdhibiti huyu mama. Ili naye yasije kumkuta haya ya Mzee Abdul

Odhis *
Mkuu acha kuwaza mambo ya Diamond unapoteza muda wa kufanya au kuwaza yako. Waswahili wanasema ya ngoswe mwachie ngoswe.
 
Back
Top Bottom