Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

Hii nchi ngumu sana kwa hesabu za makamba jr kuingia ikulu kama zinakataa, amesha kuwa mkristo mara hii
Huoni kua ikulu anaitafta kwa udi na uvumba kwasababu hapo tayari ameonekana kanisani akiwa na mama yake ambae ni mkristo tena mkatoliki,mmmh hii movie inahitaji jicho la ndani lakini sawa tu pengine yeye anaweza akabalance mambo tofauti na wa kutoka dini moja.
 

Narudi...mtego huo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ . Mwenyezi Mungu tunusuru
 
Lakni asiwe amefanya kurudi makusudi kwenye dini yake ya utoto ili kumsafishia njia mwanae,kwanza atuoneshe cheti cha ndoa kama niyakiserikali au alisilimishwa mwanzoni mwa miaka flani
 
Nadhani FaizaFoxy ana kitu cha kujifunza hapa! Kama ana akili lakini ya kufikiri!
 
Maza bado yupo fiti sana.....70 and fit.

January yeye ni muislam au mkristo?
 
Ikiwa muislamu atabadili kuachana na uislamu, nini inapaswa kuwa adhabu yake (kama ipo) kwa mujibu wa maandiko....???
 
Huu ni uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…