Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jamii forum ina bipolars
Una lack comprehension skills, ina maana hujaona kama hapo nina imply a joke...?
Wewe una matatizo mengi sana kiukweli. I already said, i am done with you. Kichwa chako kimejaza negativity tu.
 
Wanaume sio wa kuwaamini aisee, pongezi kwa huyo mwanamke amefanya kazi nzuri πŸ‘ πŸ‘
Ndiomana wengi wanaamini mnatafuta ndoa si kwaajili ya upendo wa kujenga familia bali kwaajili ya kupata unafuu wa kimaisha. Maneno yako yanawapa nguvu sana team kataa ndoa. Bora tumeshayajua yaliyo moyoni mwako mapema Ms eye
 
Una lack comprehension skills, ina maana hujaona kama hapo nina imply a joke...?
Wewe una matatizo mengi sana kiukweli. I already said, i am done with you. Kichwa chako kimejaza negativity tu.
🀣🀣🀣🀣hadi kichwa kikae sawa hicho🀣 what comprehends a joke and what not. Kila sehemu mna comment ujinga kujifanya mnashauri watu kumbe vitoto tu hata mke huna.

Humu ntawafundisha adabu vitoto vya 2000
 
Aya, uwe na amani ya Bwana. Wewe fanya chochote unachoona ni sawa kwako. Me sina shida na choice ya maamuzi yako. Jumapili njema.
 
Umeandika upande mmoja wa Mama mkwe akimu-induce Binti yake akuchune, Lakini hujaonesha response ya Binti alijibu Nini au alifanya Nini kinachoonesha kukubaliana na mawazo ya Mama.

Ni kama kukuta msg katumiwa Mkeo ya kutongozwa Lakini yeye hajajibu chochote, hiyo itakufanya umtimue?

Ila kama kuna mpango wa pamoja wa aina hiyo, chukua tahadhari. Mojawapo ita Wazee Wenye hekima wa pande zote mbili, kisha liweke hadharani.
Ushauri mzuri japo asilimia 100 lazima mtoto atatekeleza aliloambiwa na mama yake. Hapo hakuna ndoa. Jamaa wetu atasulubiwa sana. Anatakiwa amtafutie sababu huyo mwanamke na ampige chini. Hiyo familia ni hatari kwake. Mama mkwe ni kirusi huyo na ameshaingia tamaa ya pesa. Hatari hiyo.
 
🀣🀣🀣🀣hadi kichwa kikae sawa hicho🀣 what comprehends a joke and what not. Kila sehemu mna comment ujinga kujifanya mnashauri watu kumbe vitoto tu hata mke huna.

Humu ntawafundisha adabu vitoto vya 2000
Hahaaa japo sijajua chanzo cha bifu lenu ila hutakiwi kuwa na hasira na hivyo vitoto. Vinajifurahisha humu JF na fake ID. Havina impact yoyote kwenye jamii ya humu JF hata walio nje ya mtandao kuhusu hiyo movement yao ya kataa ndoa. Humu JF kuna Member zaidi ya laki 7 ila kataa ndoa wapo 5 au 6 si unaona ni tone la mvua tu ndani ya bahari. Wasamehe ni ugumu wa maisha tu unawasumbua mkuu.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia maisha yaende sawa.

Kabla sijamuoa huyu mwanamke tulikuwa tunapanga mambo mengi mazuri, kama kujenga, kuzaa watoto, kufungua biashara, kutengeneza family ya kiMungu, jinsi tutakavyowalea watoto wetu, tuliongea mambo mengi sana. Nilimfungulia biashara ya milioni saba mwaka jana mwezi wa pili, nyumbani kwao nilikarabati nyumba yao, nikaweka masofa ya gharama, TV. king'amuzi na radio.

Nilimjengea mama yake jiko na choo cha kisasa nikawabadilisha kabisa. Sijui nilirogwa ama vipi nilijikuta nasukumwa kufanya tu na nilijikuta nampenda sana mpenzi wangu. Tumeenda hivyo hadi mwezi wa pili mwaka huu ndipo tulifunga ndoa, tukafanya harusi kubwa tu na mimi ndio nilikuwa nagharamikia nikisaidiana na familia yangu. Sasa siku kadhaa zilizopita kupitia simu ya mke wangu nimekuja kugundua kuwa mama yake anamfundisha asiwe mzembe kunichuna.

Tena sio kumfundisha, inaonekana alishamfundisha zamani sasa anamhimiza asikae kizembe ahakikishe anavuna vitu vya kutosha, imagine!! Ni kama Mungu tu kwasababu mimi sina mazoea kushika simu ya mke wangu kwahiyo alikuwa hafuti meseji japo hizo nilizofuma zimeanzia mwezi wa tatu. Anamwambia asikae kizembe hii bahati aliyoipata kwenye familia yake hakuna binti hata mmoja aliyebahatika kupata mume mwenye unafuu kama mimi.

Sasa hivi ndio akili inanirudi naanza kuunganisha matukio ya nyuma, nimemwaga sana pesa kwao yani alikuwa akiniitisha tu natuma! nimejikuta naumia mnooo najuta hata kufunga hii ndoa, nilijibana nikamfungulia duka ambalo hata mama yangu sijamfanyia hivyo. Lakini mimi nilifanya kwasababu ya kumfanya achangamke na nikikwama kulea familia tukipata watoto anisaidie.

Nimewaza mengi! Nawaza huenda hata hakuwa na nia ya kunizalia maana unawezaje kuiba mali za baba watoto wako? akiishiwa watoto watakula nini sasa? Sijamwambia kitu natafakari kwanza maana nilitaka kummaliza kabisa, niliondoka nyumbani nalala hotelini na hajui kama nimesoma meseji zake, nimezipiga picha tu niko nazo. Nahisi kichwa kinawaka moto. Naomba ushauri wa haraka nisiteketezwe zaidiπŸ™
Mke siyo ndugu yako.
Mke ni rafiki yako.
Mke ni chombo cha kutotoleshea watoto wako tu.
Mke siku zote ni WAKALA WA KUKUSANYA MAPATO YA NYUMBANI KWAO NA KITUO CHAKE CHA KAZI NI KWA MMEWE.

Sasa kwakuwa umeanza kufahamu nyendo zake japo kwa hizo 5% na wewe kuwa mpenzi mtizamaji,hiyo biashara usirudie tena kusema ulimfungulia,biashara ni yako na ndio maana (huenda ulitozwa mahali) wanaume tunatozwa mahali kwa kuwa wazazi wa wake zetu hutuuzia watenda kazi,msimamie huyo ni mfanyakazi wako.

La sivyo msaidiane kufilisi hiyo biashara kwa kujifanya huna pa kutegemea tena bali hapo alipo yeye na kwakuwa hana nia ya kujenga familia bora na wewe atakuona kikwazo na kuomba talaka akidhani kwamba uchumi alioweka kwao utakufanya uteteleke na kujisifu kwa kukuchuna.

Kijana,UKIGUNDUA KUWA MTUMBWI UNAOSAFIRIA UNA VUJA,SHUKA HARAKA KINA CHA MAJI KIKINGALI MAGOTINI. Wewe shuka taratibu taratibu ili ajikute yeye mwenyewe anakusaidia kushuka.
 
Achana naye mkuu mapema kabisa. Utakuja kulogwa achukue vyote au kuachwa ukifulia. Mimi nilipitia haya yako. Mwanamke alimaliza nyumba kwao bila mimi kujua na mipango yote ni mama mkwe, nilipojua sikkaa nae hata dakika moja.
 
Yani kumuacha mwanamke WA Aina hyo unakusanya ujasiri? Aisee
Mkuu nilikuwa namjibu memba mmoja aliyenipa option ya kumgegeda huyu mama mkwe ndipo nikawa namuambia asubiri kwanza nikusanye ujasiri wa kumuingia huyu mkwe ili nimdinye
 
Achana naye mkuu mapema kabisa. Utakuja kulogwa achukue vyote au kuachwa ukifulia. Mimi nilipitia haya yako. Mwanamke alimaliza nyumba kwao bila mimi kujua na mipango yote ni mama mkwe, nilipojua sikkaa nae hata dakika moja.
Du mkuu pole sana kumbe hata wewe umewahi kupitia mambo makubwa kiasi hiki. Hawa wakwe wetu wa kisasa ni pasua kichwa
 
Mke siyo ndugu yako.
Mke ni rafiki yako.
Mke ni chombo cha kutotoleshea watoto wako tu.
Mke siku zote ni WAKALA WA KUKUSANYA MAPATO YA NYUMBANI KWAO NA KITUO CHAKE CHA KAZI NI KWA MMEWE.

Sasa kwakuwa umeanza kufahamu nyendo zake japo kwa hizo 5% na wewe kuwa mpenzi mtizamaji,hiyo biashara usirudie tena kusema ulimfungulia,biashara ni yako na ndio maana (huenda ulitozwa mahali) wanaume tunatozwa mahali kwa kuwa wazazi wa wake zetu hutuuzia watenda kazi,msimamie huyo ni mfanyakazi wako.

La sivyo msaidiane kufilisi hiyo biashara kwa kujifanya huna pa kutegemea tena bali hapo alipo yeye na kwakuwa hana nia ya kujenga familia bora na wewe atakuona kikwazo na kuomba talaka akidhani kwamba uchumi alioweka kwao utakufanya uteteleke na kujisifu kwa kukuchuna.

Kijana,UKIGUNDUA KUWA MTUMBWI UNAOSAFIRIA UNA VUJA,SHUKA HARAKA KINA CHA MAJI KIKINGALI MAGOTINI. Wewe shuka taratibu taratibu ili ajikute yeye mwenyewe anakusaidia kushuka.
Asante kwa ushauri huu konki mkuu. Nitaufanyia kazi. Hela zangu zinaniuma sana.
 
1706269321731.jpg
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia maisha yaende sawa.

Kabla sijamuoa huyu mwanamke tulikuwa tunapanga mambo mengi mazuri, kama kujenga, kuzaa watoto, kufungua biashara, kutengeneza family ya kiMungu, jinsi tutakavyowalea watoto wetu, tuliongea mambo mengi sana. Nilimfungulia biashara ya milioni saba mwaka jana mwezi wa pili, nyumbani kwao nilikarabati nyumba yao, nikaweka masofa ya gharama, TV. king'amuzi na radio.

Nilimjengea mama yake jiko na choo cha kisasa nikawabadilisha kabisa. Sijui nilirogwa ama vipi nilijikuta nasukumwa kufanya tu na nilijikuta nampenda sana mpenzi wangu. Tumeenda hivyo hadi mwezi wa pili mwaka huu ndipo tulifunga ndoa, tukafanya harusi kubwa tu na mimi ndio nilikuwa nagharamikia nikisaidiana na familia yangu. Sasa siku kadhaa zilizopita kupitia simu ya mke wangu nimekuja kugundua kuwa mama yake anamfundisha asiwe mzembe kunichuna.

Tena sio kumfundisha, inaonekana alishamfundisha zamani sasa anamhimiza asikae kizembe ahakikishe anavuna vitu vya kutosha, imagine!! Ni kama Mungu tu kwasababu mimi sina mazoea kushika simu ya mke wangu kwahiyo alikuwa hafuti meseji japo hizo nilizofuma zimeanzia mwezi wa tatu. Anamwambia asikae kizembe hii bahati aliyoipata kwenye familia yake hakuna binti hata mmoja aliyebahatika kupata mume mwenye unafuu kama mimi.

Sasa hivi ndio akili inanirudi naanza kuunganisha matukio ya nyuma, nimemwaga sana pesa kwao yani alikuwa akiniitisha tu natuma! nimejikuta naumia mnooo najuta hata kufunga hii ndoa, nilijibana nikamfungulia duka ambalo hata mama yangu sijamfanyia hivyo. Lakini mimi nilifanya kwasababu ya kumfanya achangamke na nikikwama kulea familia tukipata watoto anisaidie.

Nimewaza mengi! Nawaza huenda hata hakuwa na nia ya kunizalia maana unawezaje kuiba mali za baba watoto wako? akiishiwa watoto watakula nini sasa? Sijamwambia kitu natafakari kwanza maana nilitaka kummaliza kabisa, niliondoka nyumbani nalala hotelini na hajui kama nimesoma meseji zake, nimezipiga picha tu niko nazo. Nahisi kichwa kinawaka moto. Naomba ushauri wa haraka nisiteketezwe zaidiπŸ™
Si umzalishe huyo mke wako au una shida ya mbegu? Uliyofanya ukweni yanatosha na wala usimuulize mke wako kuhusu chochote cha msingi badilisha documents zote majina ikiwemo biashara pasipo yy kujua.Usionyeshe dalili ya kushtuka chochote.
 
Mithali 19:14

"Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana"

Inategemea mahusiano YAKO na MUNGU wako, kama ni mazuri atakuongoza kupata MKE 😁
yah uko sawa, ivi nikuulize kitu, MUNGU huwa hawai wala hachelewi, vipi akiamua kuniletea baada ya miaka 20, hapa kati kati naishije, kitu kingne MUNGU akiamua kukupa labd binti aliyekuwaga malaya , ila yeye akisema huyo anakufaa na atamdadilisha yeye mwenyewe, hii kitu inakaaje?, mana kuna sehem moja katika bible kun mtu alipew mke ,ila yule mke mazingira aliyokuwapo ni kma danguro ivi,

MKUU HAPO INAKUAJE?.
 
Back
Top Bottom