Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

My point ☝️

MWANAMKE usimtangulizie vitu au pesa au Mali kamwe hatokua MWEMA Kwako , mwanamke mtangulizie maarifaa na HEKIMA na atakukumbuka na kukushukuru milele

👉Sasa kama MWANAUME upo kwaajili ya ngono hapo lazima utamtangulizia mwanamke vitu ili kumshawishi na kumlaghai akupe tunda

hu msingi sio mzuri kwa NDOA B'se MTU anaweza kula tunda before NDOA akalielewa then akaweka NDANI aise kwa hu Msingi Lazima utapigwa na kitu kizito Mkuu kwasababu huwezi kupata MKE MWEMA kwa Msingi wa Uzinzi/uasherati/ZINAA

MWANAMKE anaekuvulia chupi kabda ya NDOA anakuhalibu wewe MWANAUME na kamwe hutoweza kuimudu hiyo NDOA na kusimama kwenye nafasi Yako wewe kama kiongozi wa familia

Kwaiyo not allowed Mkuu test mitambo before marriage hasa kwenye ngono May be kutest kwenye Mambo mengine lakini sio tunda
Asante sana mkuu. Nilivyokuelewa ni kwamba unataka tuwe tunatesti mitambo kabla ya kuoa mkuu?
 
Kwenye kumuingia mama mkwe ili nimgegede kama members wengi walivyoshauri humu?
Mpe pombe akienda uwani mchanganyie na mkojo.Ukipiga mzigo usilale nae atakupa laana.piga zigo mrudishe getoni kwake ila usisahau asubuhi kwenda kumsabahi na baada ya wiki msifie na umtoe tena out ukiona anakubali ujue amekuelewa endelea nae sebene
 
mkuu mimi sitaki mwanamke mwenye historia ya ukahaba nyuma, etbaje awe mke kwangu , yaani shetani abafilike aje kuwa malaika, na wakati mimi sikuwahi kuwa shetani,, hapanaaaa, hata kama akakuwa mke ila hapanaa.
 
mkuu mimi sitaki mwanamke mwenye historia ya ukahaba nyuma, etbaje awe mke kwangu , yaani shetani abafilike aje kuwa malaika, na wakati mimi sikuwahi kuwa shetani,, hapanaaaa, hata kama akakuwa mke ila hapanaa.

😁😁😁 Ni kweli ni ngumu sana kwa MWANAUME yoyote mwenye akili timamu kuaccept hicho kitu na kwa mtumishi wa MUNGU Hosea lilikua ni agizo la MUNGU Kwamba akaoe mke wa Uzinzi

Isaya 1

2 Hapo kwanza Bwana aliponena kwa kinywa cha Hosea, Bwana alimwambia Hosea, Enenda ukatwae mke wa uzinzi, na watoto wa uzinzi; kwa maana nchi hii inafanya uzinzi mwingi, kwa kumwacha Bwana.

3 Basi akaenda akamwoa Gomeri, binti Diblaimu;

Sasa Mkuu unawezaje kumtambua mwanamke ambae hajakua na hostoria ya uzinzi(ukahaba) kwa MAISHA ya mjini hata vijijini sikuhizi ni kama mjini?
 
Pole sana.

Mkeo amekosea MNO.

Ukienda kuanza maisha na mume, agenda za kwenu sio shughuli ya kuweka kwenye vipaumbele vyenu. La hasha!

Mume apambane na ya kwenu ninyi wawili (na sio ya ukoo wenu), na wewe hivyo hivyo.

Lasivyo, unakuwa "kasha", upo na mwenzio ila hana mtu.

Cha kufanya:

Zungumza nae kwa upendo.

Mfahamishe wazi jinsi unavyojisikia na sikiliza upande wake (wazazi wana nguvu SANA, hata hivyo akifanya mchezo, ataharibu ndoa).

Familia yake ni jukumu lake, kwavile ana biashara ambayo tayari umemfungulia.

Awe tayari hata kumblock mzazi ikiwa ataendelea kuleta pressure, hadi pale atakapojua kuwa hatanii.
 
hapo pagumu sana, sielewi itakuaje, kama ni hvyo basi namimi kuna haja gani ya kuwa msafi ikiwa nitakutana na mwanamke aliyewah kuwa shetan nyuma baadae kaja kuwa malaika.
HIZI NDOA HIZI🙌
 
hapo pagumu sana, sielewi itakuaje, kama ni hvyo basi namimi kuna haja gani ya kuwa msafi ikiwa nitakutana na mwanamke aliyewah kuwa shetan nyuma baadae kaja kuwa malaika.
HIZI NDOA HIZI🙌
😂😂😂😂 Dah MUNGU atutangulie na kutuongoza katika hilo Mkuu hakika kwa Akili na nguvu Zetu hatuwezi kutoboa

Lakini njia pekee hapa me naona ni Binti kua bikira, sasa kumpata binti bikira ambae ameshapevuka akili (23-25 +Years) sio jambo jepesi 😁

Wengi katika hi age BHN washamaliza kila aina ya wanaume na abortion na p2 washatumia Sana 😂
 
hao bikira labda ukawatoe shule za kishua huko feza,ist na kadharika, huko huwezi kukosa, tena unasibir ile wanamaliz 4 au 6 ndio udake, ila huku st kayumba na mitaani ni🚮🚮.
 
Kweli kabisa mkuu. Kwa hayo mambo makuu niliyomtendea mke wangu na familia yake sikutarajia kama mama mkwe angenifanyia umafia kama huu.
Maelezo mazuri, isipokuwa mie nina dodoso kadhaa, ukizisoma na ukanijibu nitaweza kushauri:

Kuingia kwenye ndoa (mchakato na harakati zote) ni nani alizipromote, ni wewe au mkeo?

Ukarabati wa choo na jiko la mama mkwe ulifanya chini ya ushauri ama shinikizo la mkeo?

Katika msg conversation ulizozifuma kwenye simu ya mke, ndoa yako inapewa uzito gani katika mazungumzo hayo na wawili hao?

Je katika ushawishi wa mama mkwe kwa mwanaye (mkeo), uitikio wake una uzito gani katika kuunga mkono utekelezaji?

Je yote uliyoyafanya ukweni yalikuwa ni ya kipenda roho toka moyoni mwako ama umegundua uliyafanya kwa shinikizo la mke?

Mkuu naomba unichambulie swali moja moja na kunijibu, ili nizame kindaki ndaki katika ushauri wa jambo hili.
 
swali ni je mama mkwe analipa?
Wake tunaowaoa huwa ni kivuli ama photocopy la mama mkwe, wawezakuta mkwe ni mzuri kuliko mwanaye, tofauti ikawa ni makunyanzi ya umri tu.

Lakini sasa baki ukielewa kuwa ni kosa kuangalia maumbile ya mwili wa mkweo.

Kwetu ukigundulika unamtazama kwa makini na kwa matamanio huwa ni fine kubwa, hapo lazima ng'ombe ikutoke!

Mazoea ya kupeana mikono, sijui kupiga stori ama kula pamoja nk huwa ni mwiko na havipo, utamuanzia wapi?

Kumtupia ndoano mamkwe yataka akili za ziada, maana ukikosea mahesabu, jambo hilo laweza kuharibu mustakabali mzima wa ndoa yako.
 
We piga screenshot,mazungumzo hifadhi,kwenye Google drive for future reference
 
Mke wako anakupenda na hataki kukuchuna, maelekezo yako yanasema alishafundishwa jinsi ya kukuchuna lakini inaonekana mke wako haimuingii akilini swala hilo kaa na mke mke na umuambie kwamba nyinyi ni mwili mmoja kukuibia ww ni sawa amejiibia mwenyewe..........note before mwanamke anaachwa kwa kosa moja tu mengine yavumilie jombaa!!!
 
Uliyoyafanya yote ni ya kawaida tu... Labda huo ushaur wa mama mkwe kwa mwanae ila unajipanikisha bure tu..Ulipofanya hayo yote ulikua na akili timamu.. Mke akuzalie ila ulivyompa atatumia kwa wanae pia
 
Kweli mkuu wanawake baadhi akili zao ndogo yeye ana Jenga Nyimba kwao kwenye eneo la familia yao sasa ukute kwao wapo wanane, wazazi wamefariki kwenye mirathi atasema nyumba yake.
 
Pole man!

Wanawake wengi ni wabinafsi sana mkuu!

Usimwambie chochote Kaa kimya!halafu sitisha Kila kitu kuhusu duka Wala kutuma Hela ukweni!!!
 
Uliyoyafanya yote ni ya kawaida tu... Labda huo ushaur wa mama mkwe kwa mwanae ila unajipanikisha bure tu..Ulipofanya hayo yote ulikua na akili timamu.. Mke akuzalie ila ulivyompa atatumia kwa wanae pia
Mkuu hakuna kitu kama hicho kwenye jamii zaki Africa yani mfano Dada yangu ajenge Nyumba kwenye eneo la wazazi wetu halafu watoto wake waje warithi, kwanza kwa kule mtoto wakike watoto zao wanarithi kwa upande wa Baba na siyo kwa upande wa mama, upande wa umamani kule siyo kwao, mfano Dada yangu kaolewa na Mmakonde halafu watoto wake waje kurithi Nyumbani kwetu iko kitu hakipo, hiyo Dada ana potent muda na pesa anazo wekeza uko ila kama ana wajengea familia yao sawa lakin siyo avenge kwaajili ya watoto wake hapo atakuwa kapoteza.
 
sasa inabidi mama mukwe umwambie aje akuchune yeye mwenyewe itapendeza zaidi
 
Kwanini unasema hivyo mkuu? Bahati nzuri bado sijazaa naye
 
Hii mbinu ya kuact huna pesa mimi niliitumia mwaka jana.
Akaanza kuniambia mbona nakuamini sana hebu nyanyuka upambane upya tafuta biashara nyingine wewe.
Nikaact nimekata tamaa kabisa sielewi na nilikuwa broke kweli lakini najua kuwa nikitaka mtaji kuna issue nitafanya.
Yalianza mapicha picha ya hatari
Sarakasi kama zote but sikujali
Mwishowe akatorokea kusikojulikana mpaka wa leo nauguza madonda moyoni..
Mwanamke kama hutoki nae kijiji kimoja au wilàya moja usimuoe ni bora ujiunge kataa ndoa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…