Hawa ni black Americans na wa Afrika Kusini.. Maovu waliyo wahi kufanyiwa na wazungu..
View attachment 1745970
View attachment 1745971
View attachment 1745972
Mokaze
Ila hii nchi bwana Hahahhaa sasa mzungu aue waafrika kwa lipi hasa? Kwamba sahvi hawezi kujichukulia ardhi Africa mpaka awaue? Yaani wenzio wanawaza kuhamia Mars na kujenga man made islands na smart cities za sky scrappers ndio awaze kuja kuishi Africa?
Shida waafrika hatujiamini tunajiona victims wa kila kitu.... Cha kushangaza mnaandika huu upupu kutumia simu zao na hata mioyo yetu inawekewa mashine zao kupush damu!!
Funny
Kwan kuiteketeza hii Africa Ni sh. Ngp??wanashindwa piga bomu matatu tu ya machozi mkafa wote wakafanya Yao?Kwan wanawaogopa nn mpaka wanawapa dawa wanazozalisha wao na teknoklojia wanayotumia wao mpaka mnajambiana na kianza kuwatukana??Zipo tetesi za mpango wa siri za wazungu kuua Waafrika weusi ili baadaye vizazi vyao vije ku take over ardhi ya Africa, wanatumia njia mbalimbali ikiwemo njia ya Vaccine na Fortifications ya madawa (kampuni ya SANKU) katika unga wa vyakula nk.
Tatizo letu ni kwamba sisi vyombo vyetu vya usimamizi wa mambo ya kiuchunguzi mfano TFDA na TBS au ofisi ya mkemia mkuu havina ueledi mkubwa au ni butu tukiwategemea hao hao tunaowashutumu watusaidie kiutaalamu katika kuchunguza na kukagua dawa wanazotuletea, in that case we are victims.
Kwan kuiteketeza hii Africa Ni sh. Ngp??wanashindwa piga bomu matatu tu ya machozi mkafa wote wakafanya Yao?Kwan wanawaogopa nn mpaka wanawapa dawa wanazozalisha wao na teknoklojia wanayotumia wao mpaka mnajambiana na kianza kuwatukana??
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Unajuaje hana ushahidi?.Of all the people sikutegemea mwana diplomasia huyu kuropoka jambo kama hilo bila kuwa na ushahidi
Zipo tetesi za mpango wa siri za wazungu kuua Waafrika weusi ili baadaye vizazi vyao vije ku take over ardhi ya Africa, wanatumia njia mbalimbali ikiwemo njia ya Vaccine na Fortifications ya madawa (kampuni ya SANKU) katika unga wa vyakula nk.
Tatizo letu ni kwamba sisi vyombo vyetu vya usimamizi wa mambo ya kiuchunguzi mfano TFDA na TBS au ofisi ya mkemia mkuu havina ueledi mkubwa au ni butu tukiwategemea hao hao tunaowashutumu watusaidie kiutaalamu katika kuchunguza na kukagua dawa wanazotuletea, in that case we are victims.
Na si umesikia nchi moja imetoa kibali cha kutengeneza nyama ya kuku maabara!! Kisha kuingia sokoni kuliwa na wala kuku!Zipo tetesi za mpango wa siri za wazungu kuua Waafrika weusi ili baadaye vizazi vyao vije ku take over ardhi ya Africa, wanatumia njia mbalimbali ikiwemo njia ya Vaccine na Fortifications ya madawa (kampuni ya SANKU) katika unga wa vyakula nk.
Tatizo letu ni kwamba sisi vyombo vyetu vya usimamizi wa mambo ya kiuchunguzi mfano TFDA na TBS au ofisi ya mkemia mkuu havina ueledi mkubwa au ni butu tukiwategemea hao hao tunaowashutumu watusaidie kiutaalamu katika kuchunguza na kukagua dawa wanazotuletea, in that case we are victims.
Na si umesikia nchi moja imetoa kibali cha kutengeneza nyama ya kuku maabara!! Kisha kuingia sokoni kuliwa na wala kuku!
Siku zote masikini ndio wanaongoza kwa malalamiko kuwa wanarogwa. Ni nadra sana kusikia kauli za kurogwa toka kwa matajiri !Sumu nani atupe?kwa lipi?ulaya wametuzidi karibu miaka 2000 nani aturoge?
Hizi ni imani potovu.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hizi ni hadithi tu kama Wazungu wangekuwa na nia ya kutuua Waafrika wote basi tungeshapotea zamani sana katika uso wa hii dunia.
Tangu dunia inaumbwa, modern world to be specific, tumekuwa tukipata dawa na supplies zetu zote za viwanda, vyakula etc toka Europe na Marekani. kama kutuua tungelikuwa tumetoweka zamani sana. Vaccines zote za watoto zinatok huko na bado watoto wanaozitumia ukubwani hawana tatizo wanazaa etc etc. Achana na rubbish theories
Siku zote masikini ndio wanaongoza kwa malalamiko kuwa wanarogwa. Ni nadra sana kusikia kauli za kurogwa toka kwa matajiri !
kwa levo yake mama huyu anapaswa kuongea kwa ushahidi, jambo zito kama hilo huwezi kutuhumu tu kama sie tulioko huku kwenye vijiwe vya kahawa.Usimzibe mdomo mama,wacha afunguke
kwa levo yake mama huyu anapaswa kuongea kwa ushahidi, jambo zito kama hilo huwezi kutuhumu tu kama sie tulioko huku kwenye vijiwe vya kahawa.
binafsi nilidhani huyu mama ni mtu makini sana kumbe naye ni roporopo tu