Mama mwenye hali ngumu anakaa na binti mdogo mjamzito ambaye sio ndugu yake

Ni wachache wenye roho mbaya ndio hawafanyi hivyo ila wamama ntilie wengi hata ambao sio wa ukanda huo wanafanya sana hayo.
 
Sasa umetuandikia usenge Gani huu?
 
Ningeomba utushirikishe na sisi tumsaidie japo kwa michango kidogo kwa kadri tutakavyo jaaliwa.
Kama unaniamini unaweza ukanitumia kisha mimi nitampa na kumjulisha kuwa amepewa na wasamaria wema.

ANGALIZO: IF YOU CAN TRUST ME.
 
Kwani mtu wa kipato cha chini akiomba msaada kuna ubaya gani??
Slope ni tabia na haihusuani na kipato,hao wa watu wa pwani mnaeza kuwa hata mwafanya kazi pamoja na mshahara mpo sawa,ila bado Kuna namna atajining'iniza Kwa mtu TU!!!
 
Mkuu Nilitegemea ulete namba ya binti huyo na anwani kamili ili mwenye chochote achangie lakini umeishia kumchambua tu , natamani ungefanya jambo kwa ajili yake ili hata huo ujauzito tuhangaike nao kama nikumsaidia pesa ya maandalizi ili anapojifungua tu awe na kila kitu .
 
Aisee
 
Sasa umetuandikia usenge Gani huu?
Hata kama ni vetting hazifanywi hivyo mbw* wewe. Unamtukana mtu hajakufanyia jambo lolote baya. Nenda U.K na Russia uone jinsi wanavyofanya vetting zao kama mtaona wanatukana.
 
yaaaah kutoa kwa moyo mkunjufu kuna faida sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…