Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Kukosoa kiaje....au unataka tuanze kuangazia kesi ya kibendera... Huu sio uzi wake mkuu....usitoke nje ya mada..Ameomba hajalazimisha kukosoa mamlaka ipo hata kwa mataifa makubwa wewe ni nani mpaka usikosolewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
PPersonal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake
Wanabodi Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje na kuzileta humu jf, hivyo nikatuhumiwa kuwa ni makala za jf ndio zimemchongea Eric Kabendera...www.jamiiforums.com
Acha uongo kichwa cha yohana kilikatwa baada ya mtoto wa mke wa herode kukiomba kwani alitumwa na mama yakeUko sahihi Yohana mbatizaji alikatwa kichwa aliposhindana na Herode.Mtu akishindana na mamlaka awe tayari kichwa chake kuwekwa kwenye gogo la mchinja kichwa na asipige yowe kikiwekwa kichwa chake kwenye gogo la chinja chinja
Kwani kosa la Kabendera ni nini? Si raia, kaandika habari za uongo, mhujumu au mtakatishaji pesa?Nimemuonea huruma sana huyu bibi na sisi watoto tujifunze tunapokuwa sehemu tujifunze tutii mamlaka tunawapa tabu sana wazazi wetu
Kwa hiyo?Nilimsikia huyu mama Erick Kabendera akimueleza mtangazaji wa BBC katika mahojiano yaliyorushwa mubashara na BBC Dira ya Dunia mwaka jana.
RIP mama Erick!
Kuhusu nini?Kwa hiyo?
Wewe ndiye Jiwe, laana inakujia leo au kesho!Nilimsikia huyu mama Erick Kabendera akimueleza mtangazaji wa BBC katika mahojiano yaliyorushwa mubashara na BBC Dira ya Dunia mwaka jana.
RIP mama Erick!
Laana itakuanza wewe kwanza.Wewe ndiye Jiwe, laana inakujia leo au kesho!
Ataondoka na wewe!Huyu mama hataondoka peke yake
Na baba yacoAtaondoka na wewe!
Noma sana!Nilimsikia huyu mama Erick Kabendera akimueleza mtangazaji wa BBC katika mahojiano yaliyorushwa mubashara na BBC Dira ya Dunia mwaka jana.
RIP mama Erick!
Mlio Wa Kuku.Kwa hiyo?
Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Mama Erick katika raha yake ya milele. Awasamehe wote waliochangia either direct or indirect kwenye kifo chake.Nilimsikia huyu mama Erick Kabendera akimueleza mtangazaji wa BBC katika mahojiano yaliyorushwa mubashara na BBC Dira ya Dunia mwaka jana.
RIP mama Erick!