Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumiss baba bearUnankana peupe hivi 😁
Nipo.Nimekumiss baba bear
Mwenye picha ya Joan tafadhali! Binti yatima anayeishi na Martha Mwaipaja! Binti anayeaminika na kusikilizwa kwa kila kitu na Martha Mwaipaja! Binti anayeaminika kuwa chanzo kikuu cha hili sakata.
Picha yake tafadhali....!
Kupitia hiyo picha, pesa anasingiziwa tu. Huenda kuna sababu isiyo ya kawaida, imejificha nyuma ya pazia.Pesa ndo chanzo cha ugomvi
Kupitia hiyo picha, pesa anasingiziwa tu. Huenda kuna sababu isiyo ya kawaida, imejificha nyuma ya pazia.
Martha anajitafutia laana bure, machozi ya mzazi sio mchezo. Mungu amsaidie sana.Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii.
Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice wanaopishana miaka 2 ambapo mtoto wa kwanza alifariki dunia. Mume wake, baba yao Martha na Beatrice alifariki 1995.
Anasema hadi sasa ana wajukuu wanne tu, mtoto wa Martha ambaye ni wa kiume aliyezaa na aliyekuwa mume wake, watoto wawili wa Beatrice, na mmoja aliyeachwa na marehemu mwanae wa kwanza.
Pia, Soma: Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake
Amesema, Joan alienda kwa Martha kama mfanyakazi wa ndani na kwamba alimweleza kuwa ni mtoto yatima anayehitaji msaada. Mama huyo amedai kuwa kwa sasa Joan ndiye anayeamua kila kitu katika maisha ya Martha na kwamba yeye ndiye amekuwa akimzuia asimsaidie.
Ameeleza kuwa hata mjukuu wake, mtoto wa kuzaa wa Martha naye amekuwa akiishi maisha yasiyo na furaha. "Yule mtoto (Joan) ndiye ambaye ametanda pale sebuleni," ameeleza Mama Martha kwenye mahojiano hayo.
"Mtoto wangu mpaka ninamuita 'Martha hebu njoo umuangalie mtoto huku jua linampiga halafu ninyi mmekaa sebuleni, hujui' alikuja tu akashika tu kidevu akaangalia mwanangu, akaondoka. Mtoto yule hana raha na mama yake."
Mama huyo anasema amefanya kila awezalo lakini amemshindwa Joan. "Mimi kama mimi nimemshindwa, na ndio maana Beatrice ameamua kuongea, umma umsaidie, naomba mtusaidie," ameeleza.
Anasema Martha na Beatrice wameanza kugombana mara baada tu Joan alipoingia kwenye maisha ya Martha.
"Kwasababu [Joan] ameoana kwamba Beatrice anaufahamu kwamba huyu ndiye anamchanganya dada yake, kwahiyo akiangaza kuongea, huyu binti ndipo anaanza kugeuza maneno na kumpandikizia roho ya kwamba mdogo wako hakupendi."
View attachment 3180128
Hapo mmoja mke mwingine mume what a nonsense.
Inavyosemekana Wanasagana hao!!Kupitia hiyo picha, pesa anasingiziwa tu. Huenda kuna sababu isiyo ya kawaida, imejificha nyuma ya pazia.
Kweli dada mdogo na mama walikuwa sahihi kusema Martha anampenda Sister Joan kuliko mtoto wake pekee wa kumzaa mwenyewe! Achilia mbali mama na mdogo wake. Yaani hiyo picha inaonesha those two people are in deep love! 👩❤️👩
Hawa wanaoita Mungu Mungu! Siku ya mwisho wengi watakua kwa shetaniKweli dada mdogo na mama walikuwa sahihi kusema Martha anampenda Sister Joan kuliko mtoto wake pekee wa kumzaa mwenyewe! Achilia mbali mama na mdogo wake. Yaani hiyo picha inaonesha those two people are in deep love! 👩❤️👩
Wanaomchochea huyo Martha, laana ya Mama ikikamata akaharibikiwa watamgeuka sekunde. Waswahili si watu.Martha anajitafutia laana bure, machozi ya mzazi sio mchezo. Mungu amsaidie sana.
Laana haipo hapa duniani kilichopo ni karma tuWanaomchochea huyo Martha, laana ya Mama ikikamata akaharibikiwa watamgeuka sekunde. Waswahili si watu.
Inavyosemekana Wanasagana hao!!
Hiyo michezo ni kawaida sana kwa wadada wengi nowdays, hata humu wapo!!