Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Unahusika na ujumbe wa mchokoza mada.
Humu nahisi kuna watoto wengi sana mkuu wavumilie tu.RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
PPersonal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake
Wanabodi Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje na kuzileta humu jf, hivyo nikatuhumiwa kuwa ni makala za jf ndio zimemchongea Eric Kabendera...www.jamiiforums.com
Jiwe gizani ukisikia ooooiivhhhshshh ujuwe limempataAngenitumua inbox. Kwahiyo ww umesoma wakati haukuhusu sio?
Salamu za rambi rambi zinaongozana na mchango ,tutapata jeneza la laki 5 ,mapambo ,vinywaji ,vyakula na kila kitu budget mpka kuanua matanga mil 15Huyu bibi si ndio alikuwa analalamika pesa za matibabu na mwanae wamemkamata?
Natumaini tutafanya sherehe ya kula nyama yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi akikutwa hana hatia/ kaonewa watamlipa nini kufidia haya maumivu?RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Dah haya bwana mzee wa Chato hii laana haitakuacha salama. Pia hata wale wengine uliowafanyia uliyofanya pia subiri laana kuu! Sijawahi kuona kiongozi wa aina yako niseme kweli kabisa!
Tungependa Kwanzaa kukujua vizuri isije ikawa wewe ni Mtoto mdogo ambae hujui chochote, hujui Nyuma wala mbele maaana watoto ndio wamekaririshwa haya maneno Ya mabeberu ambao ndio tunaowaona kila Siku serikali ikituambia kuwa wanetusaidia Msaada wa mashart nafuuu, pia Mimi ningependa kujua status yako nisije nikawa nachati na kushindana na mtu ambae ametoka katika familia za wala Nyama za binadamu maana mla Nyama za binadam hata litokeee Jambo la kuhuzunisha yeye atadunda tu na kuwajibu watu maneno Kama haya unayojibu, pia ningependa kujua Kama hujatoka katika familia ya kishetani inayowabudu mashetani ndio nijibishane na wewe maaana unaonekana umetoka ktika familia ya kishetani ya wala Nyama za binadam Kama idi amini dadae au hukumjua kuwa Alikuwa mla Nyama za binadam? Hukujua matendo yake pia? Hukujua kuwa aliwahi kuwatumbukiza walemavu bahalini? Basi Yule alitoka ktk familia ya wala Nyama za binadam na Kwa taarifa yako na yeye Alikuwa anakula nyama za Binadamu na matendo yake yalikuwa hayo hayoAcha uongo eti watz wengi. Mtoto wake aache apate alichokuwa anakitafuta kwa hao mabeberu. Si unawaona last time walihudhuria hapo Kisutu? Walishindwaje kumsaidia huyo mama kama alikuwa kweli anahitaji msaada wa pesa za matibabu? Kabendera anapata alichokuwa anakitaka kuna uwezekano hata Mwenyezi Mungu ameamua kumpa somo hili ili ajifunze siku nyingine aache kutumika na mabeberu.
Mkuu , hao laana itakua ndogo sana kwao, hao kuna adhabu inawasubiri kuzimu nayo ni kuchomwa moto milele na mileleMUNGU amuweke mahala pema mama Kabendera..mnaosababisha mama zetu wafe kwa mawazo mlaaniwe vizazi vyenu vyote, mama zenu, shangazi zenu, binamu zenu, watoto wenu, wajukuu zenu na mpaka kuku wenu wafe pia kama ambavyo wamekufa ndugu zetu kwa sababu zenu!
Namkumbuka zuzu mmoja alijiuta @Msalani na Ritz
Huko waliko sasa wanarukaruka kama ndama wakishangilia pigo ambalo Kabendera kalipata.....hakika furaha yao ni ya muda lkn majuto yatakuwa ya muda mrefu sana tupo tuombe Mungu atupe uhai tushuudie majuto na mahangaiko yao pumzika kwa amani mama yetu mpendwa!Kuna jamaa. Humu anajiita Jonalist ndo alimchongea Erick kwa mamlaka!! Nadhani ana ujumbe ameupata!
Rais wa wanyongeHujakosea Mkuu..
Damu za wengi zitamfata popote alipo muuwaji huyu.
Basi sawaJiwe gizani ukisikia ooooiivhhhshshh ujuwe limempata