TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

Ameni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba hawawezi onekana hapa

R.I.P mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Lumumba waliokuwa wanasumbua hapa walikuwa vijana wa January makamba nape na nwigulu njemba, walioko sasa hawajui kujieleza wao ni kutumia bunduki na kuteka, Ccm yetu asili ndio ilikuwa na hoja ya mawazo kushindana kimawazo, hiii Ya sasa ya makonda ni ya kuteka na kupeleka mahakamani haiwez kuja kwenye majukwaa ndio maaana 2020 kutatokea matatizo mengi kwenye Uchaguzi maaana wao hawana hoja hawajui kujieleza au kujibu hoja wao hoja yao ni kuagiza Polis ndio nguvu walionao Ccm mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una wazazi??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania bado hatuna sheria iyo ila katiba yetu yakizamani sana naona kungekuwa na mabadiliko has a kama mtuumiwa akimpoteza mpendwa wake mama baba watoto na mke au Mme apewe ulinzi akamzike sheria zetu zinamakosa mengi sana ata msongamano wa maabusu magerezani unaweza kupunguzwa kwa kuileta katiba mpya kama mtu akikaa miaka miwili gerezani au mwaka mmoja upelelezi haujakamilika mtu apewe dhamna asikilizie kesi nje
R.I.P mama

Wenye ujuzi na sheria, kijana wake aliyepo mahabusu ataruhusiwa kuhudhuria mazishi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pole sana kwa Familia yake na tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu ampokee na amlaza mahala pema peponi. Tuacheni kuihusisha Kazi ya Mungu kwa Matukio yetu na hasa kwa tukio la Mwanae kwani hapa tutakuwa tunaingilia Kazi yake. Hakuna ambaye anajua kama Mwanae angekuwepo angeishi hadi hivi leo au labda angekufa tokea Kitambo. Najua ni Pigo Kubwa sana kwa Erick na litamuumiza sana kwakuwa yupo matatizoni na sina uhakika kama Sheria za Tanzania au nchi zingine huwa zinaruhusu Mahabusu au Mtuhumiwa au Mfungwa atolewe Gerezani kwenda Kumzika Mzazi wake ila ninachomuomba tu Erick ajikaze, apambanie Haki yake basi pale akitoka huko ataenda Kuzuru mahala ambapo Mama yake Mpendwa amelala Milele. Hata hivyo kupitia hiki Kifo na tukirejea nyuma jinsi Marehemu alivyokuwa akiomba Mwanawe asamehewe tunaweza Kujifunza Somo zuri sana la kwamba tunatakiwa tuwe makini sana hasa katika Nyakati hizi pale unapojipambanua kuwa Mpambanaji kwa Kwanza Kujiuliza je, huna Kundi Kubwa la Watu ambao wanakutegemea huko nyuma? Na kama lipo je, yakikupata ya Kukupata umeshawaandalia Maisha ya Wao kuishi vyema hata kama Wewe utakuwa matatizoni na wale wenye Chuki nawe? Je, hawa ambao wanakushangilia Mitaani na Mitandaoni Siku yakikupata ya Kukupata watakuwa bega kwa bega na Wewe au hata Kuwasaidia Watu wa Familia yako wakiwa na Shida? Mwisho namalizia tu kwa kusema kuwa mambo mengine huwa tunayalazimisha wenyewe na mengine tunalazimishiwa hivyo tujitahidini mno kuwa makini na kamwe tusiwaamini Watu ambao wapo karibu yetu kwani Siku zote Kikulacho Ki Nguoni mwako.

Poleni nyote kwa Msiba huu na pole tena Kwako Erick Kabendera.
 
Karma utaanza kwa maandiko yako ya kuchochea kukamatwa kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kuna watu wana roho mbaya sana,nimejaribu kujiweka kwenye viatu vya marehem before hajapata umauti pamoja na Erick mwenyewe.Ts very sad.
Mungu amuangazie mwanga wa milele na aipe familia ya marehem amani.

Lakn mjue karma is a bitch!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma Maelezo ya huyu mtu nimejifunza kitu kuwa kumbe hata wauwaji wanamuogopa MUNGU yani amejitahid kweli kweli kuwa mnafiki yani ukisoma utagundua kuwa Alikuwa anatype Wakati huo huo dhamira yake ikimsuta yani anaongea kuonesha kuwa hili tukio kalifurahia Lakini roho yake ikiwa inamsuta anashindwa kutamka wazi yani anakuwa mzito wa kutamka wazi kutokana na dhamira yake kumsuta, yani huyu ni mla Nyama za binadamu Lakini dhamira inamsuta kuwa anachofanya au wanachofanya ni dhambi kubwa Sana Kwa MUNGU, dhamira inamzuia kuwa wazi anajikaza ajiweke wazi kufurahi kifo hiki Lakini dhamira inamzuia na kumkataza anajikuta anakimbilia sheria Kuelezea kuwa sheria hairuhusu, yani huyu ni sawa na mtu alieua halafu akaenda kwenye msiba utamuona anavyohangaika na huyu sio Mtoto huyu ni mtu mzima tena ni msomi na Yuko kwenye cheneli kubwa Lakini mwangalie anavyotapatapa mashtole nyie cleveverbright, wala Nyama za watu nyie, mmesababisha nilie Sana halafu mnakuja humu kutetea si mkae huko huko waja nini kuelimisha humu sasa watoto wa watu wajifunze Wakati wamebambikiziwa makes ya uongo kisa wanewakosoa? Au unataka kutuaminisha kuwa Yule Erick katenda kosa? Mmeshindwa kuwachukua waliopiga hela za umma wakajiita kuwa hivyo ni vijicenti, wakasema hizo ni hela za Mboga au watu Wa Richmond ndio mnawakamata watoto wa watu kisa wamewakosoa, shenzi Sana mijitu Kama hiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Tanzania nchi ikoje hii? Unamkamataje mtu na kumfungulia mashtaka bila ushahidi? Haki za binadamu ziko wapi? Watu wanateseka tu rumande kwa makusudi tu ya kuwatesa!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…